Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wapigaji wanafanana miandiko mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yamekuwa magumu kimtindo,.. Badala watafute michongo wao wamealalisha kudanga km kazi.
 
Tunaombana
Ndiyo, Lakini nyie mmekuwa too much.

Majike wamekuwa kama "BAHARI MFU" wao wanapokea ila hawatoi.

Wakishatumiwa "YAO" na ile ya "KUTOLEA" na ile ya "NAULI", wao wanapiga kimya wanavunja laini, wanablock, na kisha wanaenda kwa "MZEE JUMLA".

Siku 2 wamepigwa mistari, Mizinga na makombora ya masafa marefu ni msongamano.

Wanayohitaji uwape, ukisema una pungufu yake wao hawataki kusikia hilo.

Ukisema leo siku haikwenda sawa nimetoka kapa tufanye kesho wala hawakuvumilii.

Ulipowapatia waitakayo walifurahia, Lakini ilipokosekana siku hiyo na "JOTO" ulinyimwa.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Swala sio kuomba pesa
Ukute anaomba fedha na yeye mwenyewe ana sura kama utadhani kapata mfadhaiko.
Kuna lidada moja humu yaani linapiga mizinga vibayaa, ila ukilikuta public linajishebedua kuwa halitegemei fedha wanaume.

Niishie hapa.
Pancho latino pole kwa yaliyokukuta
 
Ni hivi, unakuta mtu una demu tu anaishi kwao (kwa wazazi)....utashangaa kila siku anakubeep au kukutext kuwa anahitaji hela ya pango la nyumba, sijuwi wazazi wake wanaumwa, au mtoto wa ndugu yake fulani yuko hoi anahitaji upasuaji hivyo anataka si kuomba bali anataka milioni kadhaa akampeleke India kufanyiwa matibabu/upasuaji. Hapo hapo anakuzuga kuwa yuko na wewe kumbe ana wengine zaidi ya 5. Wanawake kwa kweli hamna tena ishu siku hizi, mnabaki kuchezewa tu na kuumizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…