Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

mkuu huyu witty huyu kama anatokea maeneo ya chang'ombe maeneo ya kiwanda cha serengeti huko kwenye mataa pale njia inayoelekea keko basi umeliwa hapo yaani tabia zake kabisa hizoo kwa uo utumaji wa text niliouona au labda wanawake wanafanana namna ya chatting zao wanavo andika APEFACE
Wapigaji wanafanana miandiko mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi nimepigwaa nauli dadeki na mdada qa heshima sana sema nimejidai sijamind ili siku aingie mkengee.. Mwingine anaomba helaa mpaka nikawa sijibu msg akasema mbona hujibi msg wala calls nikamwambia nikipata Hela ntakuwa napokea..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mademu wa siku hizi kuwa nammoja huyo simu mmoja anakuja bila hivyo helaa zako utapigwaa sana kisa nyegee...
Maisha yamekuwa magumu kimtindo,.. Badala watafute michongo wao wamealalisha kudanga km kazi.
 
Tunaombana
Ndiyo, Lakini nyie mmekuwa too much.

Majike wamekuwa kama "BAHARI MFU" wao wanapokea ila hawatoi.

Wakishatumiwa "YAO" na ile ya "KUTOLEA" na ile ya "NAULI", wao wanapiga kimya wanavunja laini, wanablock, na kisha wanaenda kwa "MZEE JUMLA".

Siku 2 wamepigwa mistari, Mizinga na makombora ya masafa marefu ni msongamano.

Wanayohitaji uwape, ukisema una pungufu yake wao hawataki kusikia hilo.

Ukisema leo siku haikwenda sawa nimetoka kapa tufanye kesho wala hawakuvumilii.

Ulipowapatia waitakayo walifurahia, Lakini ilipokosekana siku hiyo na "JOTO" ulinyimwa.
 
Juzi tu hapo demu nimepanda nae bajaji...haooo, nikaona hebu ngoja nione kama atajaa nikaomba namba, akanipa, akaniambia nilipie nauli, nikalipa,akashuka, dakika chache tunachati akaomba "tembo"...duh...akaanza kutuma mameseji shazi...View attachment 1964731

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Swala sio kuomba pesa
Ukute anaomba fedha na yeye mwenyewe ana sura kama utadhani kapata mfadhaiko.
Kuna lidada moja humu yaani linapiga mizinga vibayaa, ila ukilikuta public linajishebedua kuwa halitegemei fedha wanaume.

Niishie hapa.
Pancho latino pole kwa yaliyokukuta
 
Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔

Nnajiuliza kwani hili swala ni geni? Ni jipya? Zamani wanaume walikua hawawapi pesa wapenzi wao? Wanawake walikua hawaombi hela? Hadi sasa iwe ishuuu yani kila kona ni malalamiko tu.....na hawa mnaolalamikia anakua ni mpenzi wako tu mmoja au rundo la wapenzi wote wanakuomba??? Mtu mmoja anaweza kukuomba pesa kiasi hicho hadi ikawa kero? Au ni nyie harakati zenu za pimbi ndio malipo yake haya? Una wapenzi wanne kila mmoja akiishiwa gas manake ni laki mbili hiyo 😁 ungekua na mmoja at least basi 50 sio mbaya, Hebu kuweni wazi NI MPENZI MMOJA TU NDIO KERO KIASI HICHO AU WAPENZI WAKO WENGI????

Mwanamke umekaa zako uko busy na maisha yako, anakuja mtu kavaa suruali anaanza saundi anakuomba omba vitu vyako eti ye ukimuomba chake inakua kero, hutaki kuombwa basi tulia zako nawe usiombe ombe vya watu?!!!! Yani eti utelezeee halafu umalize na ahsante, bro ahsante hailipi bill. Kuna wakulungwa watauliza kwani mnauza??? Hapana haziuzwi na hazitolewi bure.

Naamini mapenzi na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa, asikuambie mtu pesa ikiwepo inaongeza furaha, amsha amsha na nyeg* katika mapenzi, mtabisha tu Ila ndio ukweli.....

Cheers kwenu wanaume mnaotoa bila kinyongo bila maneno maneno, mbarikiwe sana muongezewe zaidi na zaidi, mpewe muda wote mnaotaka tena mpewe vizuri, mnaolialia kuombwa pesa muuliwe tu nyie.
Ladies msimamo ni upi? Tuache au tuendelee...😁😁
Ni hivi, unakuta mtu una demu tu anaishi kwao (kwa wazazi)....utashangaa kila siku anakubeep au kukutext kuwa anahitaji hela ya pango la nyumba, sijuwi wazazi wake wanaumwa, au mtoto wa ndugu yake fulani yuko hoi anahitaji upasuaji hivyo anataka si kuomba bali anataka milioni kadhaa akampeleke India kufanyiwa matibabu/upasuaji. Hapo hapo anakuzuga kuwa yuko na wewe kumbe ana wengine zaidi ya 5. Wanawake kwa kweli hamna tena ishu siku hizi, mnabaki kuchezewa tu na kuumizwa.
 
Back
Top Bottom