Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baby i love you kiiila siku bila viambatanisho inachosha jamani. Hata genye haikuji kwakweli, hebu acheni umama bwana!!
Nlikua natafuta comment yako, hujawahi kuniangusha ktk hizi mada lol
 
Wanawake waombaji pesa ni wavivu kinomaaaaa,, tafuta pisi inayojielewa ni hustler kama wewe mnatafuta mkwanja pamoja,, mnakula life

Kuna hizi modern beggars ambazo nadhani kwenye info zake akiulizwa occupation atasema " tax collection on relationship" kwao mapenzi ni trade "nipe something nikupe something" yaan kwa namna nyngne hao ni aina nyingine ya papuchi service provider, cash talks

Na hawawezi kukataa kuwa they are doin it, wazi kabisa wanasimama na kutetea hoja kwa nguvu zote,,, wanahalalisha "gold digging" kama something that is moral right

Ukitaka kula my mkwanja gimme something na sio papuchi koz hata buguruni zipo za kununua,, utofaut wake na ww ni kwamba yeye anafanya wazi wewe una polish kilichooza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…