Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

After all mi nawakumbusha tu WASIOE.

Haiwezekani unakutana na mdada miaka 20's au 30's ya kutosha eti wajifanya bingwa wa kugharamia na kutaka kuoa kabisaaa.

My fellow men ""wenzako walioanza nae na kubikiri Hawakuona ndoa ila wewe ndio kujifanya unajua sanaaa na kutaka kuoa kabisa..!!""

Tuendelee kuwa single.

Ukipata pisi kali ihudumie vizuri
Ukipata pisi kali kula mzigo tanii yako.

Ukiona imekua TO MUCH FOR YOU brazaa sio ndugu yako huyooo SEPAAAAA.

I salute you all the girls wale ukiwapa pesa basi si WASUMBUFU KUTOA MZIGO.

LOVE MY MONEY.

#YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baby i love you kiiila siku bila viambatanisho inachosha jamani. Hata genye haikuji kwakweli, hebu acheni umama bwana!!
Nlikua natafuta comment yako, hujawahi kuniangusha ktk hizi mada lol
 
Wanawake waombaji pesa ni wavivu kinomaaaaa,, tafuta pisi inayojielewa ni hustler kama wewe mnatafuta mkwanja pamoja,, mnakula life

Kuna hizi modern beggars ambazo nadhani kwenye info zake akiulizwa occupation atasema " tax collection on relationship" kwao mapenzi ni trade "nipe something nikupe something" yaan kwa namna nyngne hao ni aina nyingine ya papuchi service provider, cash talks

Na hawawezi kukataa kuwa they are doin it, wazi kabisa wanasimama na kutetea hoja kwa nguvu zote,,, wanahalalisha "gold digging" kama something that is moral right

Ukitaka kula my mkwanja gimme something na sio papuchi koz hata buguruni zipo za kununua,, utofaut wake na ww ni kwamba yeye anafanya wazi wewe una polish kilichooza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔

Nnajiuliza kwani hili swala ni geni? Ni jipya? Zamani wanaume walikua hawawapi pesa wapenzi wao? Wanawake walikua hawaombi hela? Hadi sasa iwe ishuuu yani kila kona ni malalamiko tu.....na hawa mnaolalamikia anakua ni mpenzi wako tu mmoja au rundo la wapenzi wote wanakuomba??? Mtu mmoja anaweza kukuomba pesa kiasi hicho hadi ikawa kero? Au ni nyie harakati zenu za pimbi ndio malipo yake haya? Una wapenzi wanne kila mmoja akiishiwa gas manake ni laki mbili hiyo 😁 ungekua na mmoja at least basi 50 sio mbaya, Hebu kuweni wazi NI MPENZI MMOJA TU NDIO KERO KIASI HICHO AU WAPENZI WAKO WENGI????

Mwanamke umekaa zako uko busy na maisha yako, anakuja mtu kavaa suruali anaanza saundi anakuomba omba vitu vyako eti ye ukimuomba chake inakua kero, hutaki kuombwa basi tulia zako nawe usiombe ombe vya watu?!!!! Yani eti utelezeee halafu umalize na ahsante, bro ahsante hailipi bill. Kuna wakulungwa watauliza kwani mnauza??? Hapana haziuzwi na hazitolewi bure.

Naamini mapenzi na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa, asikuambie mtu pesa ikiwepo inaongeza furaha, amsha amsha na nyeg* katika mapenzi, mtabisha tu Ila ndio ukweli.....

Cheers kwenu wanaume mnaotoa bila kinyongo bila maneno maneno, mbarikiwe sana muongezewe zaidi na zaidi, mpewe muda wote mnaotaka tena mpewe vizuri, mnaolialia kuombwa pesa muuliwe tu nyie.
Ladies msimamo ni upi? Tuache au tuendelee...😁😁
Aisee!
 
Back
Top Bottom