Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wewe una lako jambo.
Hakuna aliyesema hataki kuhudumia.
Hivi:
Mkibadilishana namba za simu tayari mmekuwa wapenzi?
Kama sio wapenzi ujasiri wa kuomba unaupata wapi?
 
Shawahi Kuna na mwanaume wa hivi haoni aibu yeye kila siku shida na asivo haya anaomba Hadi hela ya msosi, na alisahau kuwa sio wanawake wote wameumbiwa kuomba ila haimaanishi usihudumie baby wako, maana mtu ka huyo nilimkimbia nikawaza huyu ni mchoyo hata mkiwa na familia hawezi kuhudumia na anakuachia mzigo wote nikasema Cha kufia nini mwanaume mtaka vya bure tena ana kazi nzuri masafari ka yote ila mchoyo wa hatari wallah.

Kuna wanawake hatuombi hela ila tunapenda responsible man anayejiongeza wallah, mikono mitupu hailambwi, na ndio maana watoaji wengi hupendwa na kusamehewa mapungufu mengine
 
Wewe una lako jambo.
Hakuna aliyesema hataki kuhudumia.
Hivi:
Mkibadilishana namba za simu tayari mmekuwa wapenzi?
Kama sio wapenzi ujasiri wa kuomba unaupata wapi?
Huyo anaeomba pesa baada ya kupewa namba ni malaya muuza uchi mkuu
 
Huyo baharia ametuaibisha sana, wanaume hawana haya kabisa, una demu haombi hela halafu unashindwa tu kujiongeza, ulifanya jambo la maana kumkimbia my sister, huyo ni kansa hata mkiwa na watoto atajifanya hamnazo
 
Huyo baharia ametuaibisha sana, wanaume hawana haya kabisa, una demu haombi hela halafu unashindwa tu kujiongeza, ukifanya jambo la maana kumkimbia my sister, huyo ni kanza hata mkiwa na watoto atajifanya hamnazo
Nilikimbia zangu mita mia mbili wallah, so kuna wanaume wapenda mtelezo acha tu waombwe hela maana wengine huwa wanaomba kuwapima au kuwakimbiza real gentleman anahudumia mwanamke wake bila kuombwa.
Pia inaonyesha anaweza kuwa responsible father
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…