Humu ndani kuna mchangiaji mmoja alipata kusema ya kuwa sisi wanaume tukipenda sehemu ile kweli kweli huwa tunatoa hela bila kuombwa. Huu ukweli mweupe kabisa. Hivi ndivyo tulivyo sisi.Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔
Nnajiuliza kwani hili swala ni geni? Ni jipya? Zamani wanaume walikua hawawapi pesa wapenzi wao? Wanawake walikua hawaombi hela? Hadi sasa iwe ishuuu yani kila kona ni malalamiko tu.....na hawa mnaolalamikia anakua ni mpenzi wako tu mmoja au rundo la wapenzi wote wanakuomba??? Mtu mmoja anaweza kukuomba pesa kiasi hicho hadi ikawa kero? Au ni nyie harakati zenu za pimbi ndio malipo yake haya? Una wapenzi wanne kila mmoja akiishiwa gas manake ni laki mbili hiyo 😁 ungekua na mmoja at least basi 50 sio mbaya, Hebu kuweni wazi NI MPENZI MMOJA TU NDIO KERO KIASI HICHO AU WAPENZI WAKO WENGI????
Mwanamke umekaa zako uko busy na maisha yako, anakuja mtu kavaa suruali anaanza saundi anakuomba omba vitu vyako eti ye ukimuomba chake inakua kero, hutaki kuombwa basi tulia zako nawe usiombe ombe vya watu?!!!! Yani eti utelezeee halafu umalize na ahsante, bro ahsante hailipi bill. Kuna wakulungwa watauliza kwani mnauza??? Hapana haziuzwi na hazitolewi bure.
Naamini mapenzi na pesa ni vitu viwili visivyotenganishwa, asikuambie mtu pesa ikiwepo inaongeza furaha, amsha amsha na nyeg* katika mapenzi, mtabisha tu Ila ndio ukweli.....
Cheers kwenu wanaume mnaotoa bila kinyongo bila maneno maneno, mbarikiwe sana muongezewe zaidi na zaidi, mpewe muda wote mnaotaka tena mpewe vizuri, mnaolialia kuombwa pesa muuliwe tu nyie.
Ladies msimamo ni upi? Tuache au tuendelee...😁😁
Hata Jeff Benzos ameachwa Sasa Hana hela amaKuna bill gate aliprovide vyote saiv yupo single hawa viumbe Mungu aliumba kwa upekee wao tu
Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Kwahiyo unashauri hapa wote wauwawe 😂😂😂😂Ila wanaume wenye hela hata hawako kwenye hii thread. Wametulia zao tuliiiiii.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hii sababu huwa haingii akilini kabisa. Unawezaje kumfukuza mtu ukimuomba pesa mara kwa mara,je akiwa anakupa kila unapo muomba hela unazichukua au una kataa ?Sometimes hii ni mbinu ya kufukuza wakware, kushinda unatuma tuma mameseji tu kwa mtu na ukute mtu mwenyewe hajakuelewa anakukataa unajifanya king'ang'a hapo inabidi uombwe pesa ili kufukuzwa
You see kumbe muda wetu wa kushaini mchache tu, sa malalamiko ya nini jamaniNiwakumbushe tu wanamke kuwa umri wao wa ku shine ni18 to 40 ila sisi wanaume mpk hata 70+ ukisimama unapeleka moto kwa hio jitahidini kuomba hela kwa njia zote ila msisahau kuwekeza maana tunakoelekea wanaume kuoa itakuwa ndoto maana hawa viumbe haitoshi tu kuwapa hela hata kuishi na kwa akili
Wanaume tutafika tumechoka sana
Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Dadekiii kesho anakatika kisiginoo😂😂😂😂 Kesho aendelee tena
Ukweli ni kwamba;
Mkibadilishana namba na msichana baada ya muda mfupi yaani ndani ya siku 2 anaomba eidha ya kusuka, umwongezee kodi au utasikia hapa nilipo nina njaa sijala naomba 20k.
Kuomba pesa sio tatizo, tatizo timing, wasichana 80% hawana uvumilivu wala mshipa wa aibu.
[emoji1696]Hata Kama unahela kiasi gan,, mwanaume anampa hela yule mwanamke ambaye tayari ana uhakika wa Umiliki juu yake.( She is mine)
Ndio maana kuna mwanaume anayeweza kukushawishi kwa pesa umpe mbususu kama lengo lake ni mbususu.
Mwingine anaihitaji muestablish relationship kwanza ndio awe responsible kwako .
Mlivyo sasa,,,,Mtu atakutongoza, unakua sitaki nataka, Unamlia pesa yake wee, alafu ndio unajilopokesha, " Nina bwana wangu, ananipenda sanaa na mimi nampenda ,sifikirii kumsaliti".
Mnakula nauli za watu. Hamtokeiii....nyie ni watu[emoji23][emoji23].
WANAUME WENZANGU, HUSUSANI VIJANA, MSIOGOPWE KUITWA MABAHIRI ,SIJUI HAUNA HELA SIJUI MASIKINI, NAJUA UNAJIJUA ULIVYO HIVO[emoji116]
[emoji117]Heshimu sana Pesa yako.
[emoji117]Kua na nidhamu na pesa yako.
[emoji117]Iombee Mungu Pesa yako ailinde.
[emoji117]Toa sadaka na zaka.
[emoji117]Saidia wahitaji hata watoto wa mitaani, siku moja moja nunua nguo hata zamitumba ,viatu katoe.
[emoji117]Fanya mamb yako ya msingi
LAKINI USIKAE KUITUMIA PESA YAKO KAMA SEHEM YA KUMFANYA MWANAMKE AKUPENDE, AKUONE KIDUME N.K .....
PENZI ITS AN EMOTIONAL DECISION AND NOT Financial decision na KUTOA PESA ni financial decision na sio Emotional.
huhitaji kutumia Pesa yako Kumfanya akutake, kufanya hivo ni kumfanya ajiaminishe yakua " She is in control ".[emoji777].
[emoji117]GUYS JIKITENI KUITAFUTA PESA NA KUITUMIA KUJIPA THAMANI, KUBORESHA MAISHA YAKO. JIPENI THAMANI , YAAN HATA AINA YA WANAWAKE WATAKAOKUJA KWAKO NI WALE WAPIGANAJI, WANAOHITAJI UWAFUNDISHE JINSI YA KUVUNA PESA ZAO, WANAOHITAJI UWASAPOTI KWENYE JUHUDI ZAO ZA UTAFUTAJ, WANAWAKE AMBAO NI "VERY BRIGHT VICHWANI , WANAOHITAJI KUA HURU KIUCHUMI...
Usipojipa thaman we mwenyewe, maana yake ILI UMPATE MWANAMKE ,UTAHITAJIKA KUA MTUMWA ,UTUMIE NGUVU NA PESA ULONAYO KUMSHAWISHI Ili tu akukubalie.
Nahawa ndio kila siku hahishi kukupiga mizinga ile mikubwa yaan (INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILES) alafu ya mara Kwa mara.
[emoji117]Jipeni thamani , thamani inakupa nafasi ya machaguzi, thaman inakufanya, USIHANGAIKE KWA WANAWAKE...BALI WANAWAKE WAHANGAIKE KWAAJILI YAKO.
UKIJIPA THAMAN, KUMPA PESA MWANAMKE, ITABAKI NI UAMUZI WAKO WA KICHUMI .
UKIJIPA THAMANI, WANAWAKE WEEENGI WATAKUJA YAAN WENGIIIII NDUGU ZANGU, WATAKUJA , NA WAKIJA, SABABU UNA NAFASI YA MACHAGUZI, HAUTAKAA KAMWE KUTUMIA PESA YAKO ,KUMSHAWISHI MWANAMKE AWE WAKO.
SANASANA UTAITUMIA KUMUHUDUMIA MWANAMKE ULIYEMCHAGUA KATIKA HAO WENGII....NAHUO NI WAJIBU WA KIUME[emoji123]
ila wewe Jamaa Recently umejizolea umaarufu Kweli humu ndaniAfter all mi nawakumbusha tu WASIOE.
Haiwezekani unakutana na mdada miaka 20's au 30's ya kutosha eti wajifanya bingwa wa kugharamia na kutaka kuoa kabisaaa.
My fellow men ""wenzako walioanza nae na kubikiri Hawakuona ndoa ila wewe ndio kujifanya unajua sanaaa na kutaka kuoa kabisa..!!""
Tuendelee kuwa single.
Ukipata pisi kali ihudumie vizuri
Ukipata pisi kali kula mzigo tanii yako.
Ukiona imekua TO MUCH FOR YOU brazaa sio ndugu yako huyooo SEPAAAAA.
I salute you all the girls wale ukiwapa pesa basi si WASUMBUFU KUTOA MZIGO.
LOVE MY MONEY.
#YNWA
Point.Hata Kama unahela kiasi gan,, mwanaume anampa hela yule mwanamke ambaye tayari ana uhakika wa Umiliki juu yake.( She is mine)
Ndio maana kuna mwanaume anayeweza kukushawishi kwa pesa umpe mbususu kama lengo lake ni mbususu.
Mwingine anaihitaji muestablish relationship kwanza ndio awe responsible kwako .
Mlivyo sasa,,,,Mtu atakutongoza, unakua sitaki nataka, Unamlia pesa yake wee, alafu ndio unajilopokesha, " Nina bwana wangu, ananipenda sanaa na mimi nampenda ,sifikirii kumsaliti".
Mnakula nauli za watu. Hamtokeiii....nyie ni watu[emoji23][emoji23].
WANAUME WENZANGU, HUSUSANI VIJANA, MSIOGOPWE KUITWA MABAHIRI ,SIJUI HAUNA HELA SIJUI MASIKINI, NAJUA UNAJIJUA ULIVYO HIVO[emoji116]
[emoji117]Heshimu sana Pesa yako.
[emoji117]Kua na nidhamu na pesa yako.
[emoji117]Iombee Mungu Pesa yako ailinde.
[emoji117]Toa sadaka na zaka.
[emoji117]Saidia wahitaji hata watoto wa mitaani, siku moja moja nunua nguo hata zamitumba ,viatu katoe.
[emoji117]Fanya mamb yako ya msingi
LAKINI USIKAE KUITUMIA PESA YAKO KAMA SEHEM YA KUMFANYA MWANAMKE AKUPENDE, AKUONE KIDUME N.K .....
PENZI ITS AN EMOTIONAL DECISION AND NOT Financial decision na KUTOA PESA ni financial decision na sio Emotional.
huhitaji kutumia Pesa yako Kumfanya akutake, kufanya hivo ni kumfanya ajiaminishe yakua " She is in control ".[emoji777].
[emoji117]GUYS JIKITENI KUITAFUTA PESA NA KUITUMIA KUJIPA THAMANI, KUBORESHA MAISHA YAKO. JIPENI THAMANI , YAAN HATA AINA YA WANAWAKE WATAKAOKUJA KWAKO NI WALE WAPIGANAJI, WANAOHITAJI UWAFUNDISHE JINSI YA KUVUNA PESA ZAO, WANAOHITAJI UWASAPOTI KWENYE JUHUDI ZAO ZA UTAFUTAJ, WANAWAKE AMBAO NI "VERY BRIGHT VICHWANI , WANAOHITAJI KUA HURU KIUCHUMI...
Usipojipa thaman we mwenyewe, maana yake ILI UMPATE MWANAMKE ,UTAHITAJIKA KUA MTUMWA ,UTUMIE NGUVU NA PESA ULONAYO KUMSHAWISHI Ili tu akukubalie.
Nahawa ndio kila siku hahishi kukupiga mizinga ile mikubwa yaan (INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILES) alafu ya mara Kwa mara.
[emoji117]Jipeni thamani , thamani inakupa nafasi ya machaguzi, thaman inakufanya, USIHANGAIKE KWA WANAWAKE...BALI WANAWAKE WAHANGAIKE KWAAJILI YAKO.
UKIJIPA THAMAN, KUMPA PESA MWANAMKE, ITABAKI NI UAMUZI WAKO WA KICHUMI .
UKIJIPA THAMANI, WANAWAKE WEEENGI WATAKUJA YAAN WENGIIIII NDUGU ZANGU, WATAKUJA , NA WAKIJA, SABABU UNA NAFASI YA MACHAGUZI, HAUTAKAA KAMWE KUTUMIA PESA YAKO ,KUMSHAWISHI MWANAMKE AWE WAKO.
SANASANA UTAITUMIA KUMUHUDUMIA MWANAMKE ULIYEMCHAGUA KATIKA HAO WENGII....NAHUO NI WAJIBU WA KIUME[emoji123]
Mimi maji tu yananifaa.Unakunywa bia gani bro...
Nchi ngumu sana hii mkuuKwahio “bby naomba hela ya kununulia simu hii yangu imeharibika” ndio neno mbadala la “sikutaki”?
Hao wapo sana, wanataka free p.Ni kweli mkuu ulichokisema
Ila kuna mijanaume ingine unaipenda unaivumilia ila ukigusia tu kuomba hela anavyoshtuka kama sio majukumu yake vile kunihudumia mxiiiuueeee
ili uwe na hela unatakiwa kuwa na kiasi gani ?Ila wanaume wenye hela hata hawako kwenye hii thread. Wametulia zao tuliiiiii.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hapana sister, huyo muache tu, hata nikikupa taarifa zake utarudi nyuma maana hana makuu kabisa, mstaarabu sana na akili yake imetulia sana, sijui naanzia wapiAkizingua hebu utupe taarifa tuone nini cha kufanya [emoji16]
Hahahah wamekusikia mkuuNiwakumbushe tu wanamke kuwa umri wao wa ku shine ni18 to 40 ila sisi wanaume mpk hata 70+ ukisimama unapeleka moto kwa hio jitahidini kuomba hela kwa njia zote ila msisahau kuwekeza maana tunakoelekea wanaume kuoa itakuwa ndoto maana hawa viumbe haitoshi tu kuwapa hela hata kuishi na kwa akili
Wanaume tutafika tumechoka sana
Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app