Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Huyo mtu sio mimi kweli [emoji16] hizo sifa zangu kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana, huna sifa yake hata moja, wewe upo kwenye kila mada, yeye huwa haandiki kama hana umuhimu wa kuandika, na akiandika basi anaandika point, kuna uzi mmoja ni kama game, mara nyingi utamkuta kwenye ule uzi, ila kwenye regular threada huju jamvini ni mara chache sana
 
T
Tangu nizaliwe sijawahi ona kahaba akimuombea baraka mwanaume wake, Pia sijaona kahaba akimuombea kifo mwanaume wake na Mungu akajibu hilo ombi.

Nahisi mwisho wa dunia umekaribia πŸ˜‚
 
Ni mimi huyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuanzia leo mimi na wewe tuna uhusiano utake usitake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanawake wakibantu wengi ni omba omba.
 
Hata Kama unahela kiasi gan,, mwanaume anampa hela yule mwanamke ambaye tayari ana uhakika wa Umiliki juu yake.( She is mine)

Ndio maana kuna mwanaume anayeweza kukushawishi kwa pesa umpe mbususu kama lengo lake ni mbususu.
Mkuu umeongea point sana, vijana tafuteni pesa ila kazeni kweye kujiongezea thamani. Ukiwa na thamani wanawake watajipendekeza utawala bure mpaka utachoka. Watakuvumilia wakiamini ipo siku watakuwa na wewe. Kuna msemo mzee wangu mmmoja aliniambia '' ukiona unapapatikiwa na wanawake na kila unachowaambia wanaaamini kirahisi,jiangalie uchumi wako utakuwa umetoboa'' mimi nilikuwa siamini.

Ila nilipitia maisha hayo nikachakata mbususu za kutosha kwa sasa nimetulia ni hilo tu. Vijana jiongezeeni thamani mfano mdogo ni kumiliki ghetto, kijana anaemiliki ghetto ana urahisi wa kuchakata mbususu nyingii kuliko ambae kila siku anaenda lodge. Mwanamke anafika pale ghetto anaona hapa ni kwa kidume wake kwa nini ndege asiingie tunduni.Hawa viumbe usiwawazie we jiongezee thamani, utawala bila stress.
 
Mabinti lazima mjifunze kwamba, ukiona mwanaume hakupi pesa au anakupa hadi umuombe jua kwamba haupo moyoni mwake kiviiiiiiiiile, atakupa kwa sababu umeomba lakini hakupi kwa sababu haumo kwenye mahesabu yake kiviiiiile, atakupa kama hajakupata lakini akishakupata tu akakutawanya afu ukaona pesa inakata kwako au hadi umuombe basi fahamu kwamba haumo moyoni mwake
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… sasa wao wanafosi uwe moyoni mwao bila kupendaπŸ˜…!

Kuomba pesa ni kuzuri ila inategemea unaomba wakati gani ndio ita determine upewe au unyimwe! Ukiomba mda ambao sio sahihi lazma utawaona wanaume wabaya! Mwanaume mvizie siku ana hela ndio mtie kizinga sio wewe kila ukimuona tu unaomba hela! Jibebishe mwisho wa mwezi huko ukijua anavuta mawe soon hapo haina kipengele.

Wanaotuharibia ni wanaume wapiga dili wale ambao mda wote wana mzunguko wa noti chafu ndio wanahonga honga hovyo kiasi kwamba imeonekana mwanamke kuhongwa ni haki yake ya msingi hata kama hajaolewa! Sie wa hela za tarehe maalum tunaishia kuonekana vigwasi tu!
 
Ulishawahi kuwaona wanyama wengine nao wanaombana pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…