Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Uzuri umri ukienda mnakuja kugundua umri ushaenda, vidume vinahamishia mpira kwa vigori wengine, wazo la kutaka kuolewa linakujia ila tatizo historia yako inakuhukumu na watu hawana time na ww.
 
Kuolewa sii ishu hapa, ishu ni nyie kuombwa pesa na kulia lia.
 
Kwenye mahusiano yule anayemuhitaji mwingine zaidi ndiye atakayekuwa wa kwanza kuwekeza.
Mwanaume anawekeza pesa na mwanamke anawekeza sex. Mwanaume akitoa hela kabla hajatomba, hapo anakuwa ameshikilia makali vivyo hivyo mwanamke akitoa papa kabla hajahongwa chochote ama vya kutosha.
Mwanaume kumpa mwanamke pesa haimaniishi ndo atapendwa zaidi, badala yake yeye ndiye atazidi kupenda zaidi kutokana na jasho lake alilogharamia kwenye mahusiano.
Kuna wanawake wakimpenda mwanaume wanakimbilia kutanua miguu wakifikiri ndio njia ya kumshikilia huyo mwanaume kinachowashangaza wakishaliwa mapenzi yanapungua ama kuisha kabisa.
Haya mambo yanachanganya sana, kwenye mahusiano kuna upande unaowekeza sana ambao unahitaji upande mwingine zaidi, ila upande wa pili hauhisi chochote kivile.
Wanawake ni Machiavellians by nature. Ndio maana wamefanikiwa kuwaaminisha wanaume kuhonga ni kawaida ila sex hadi badae badae au hadi ndoa kabisa. Yaani mwanamke kwa kuwa na qumar anaweza kukamua chochote toka kwa mwanaume na kumkontro kama anatumia remote. Na ni wepesi wa ku move on baada ya kuachana maana hawakuwa wamewekeza kwenye mahusiano pakubwa hivyo kuachana hakuwapotezei pakubwa.
Ushauri kwa wanaume, always dili na mwanamke anayevutiwa na wewe, ambaye atakuwa tayari kukupa papa kabla ya kumuhonga.
 
yaani ukipewa namba tu hata hujatongoza ushaombwa hela, now sio kama zamani wana wake wamekuwa na tamaa za ajabu bila aibu yaani
 
This weekend nina bucket yako mkuu
 
Wakasimame kona bar watapata pesa kibao kutoka kwa wateja. Hawafikirii hata hali ya mtu waliye naye wao hudhani ana mashine ya kufyatua pesa😂😂wakati mwingine manyanyaso na kudhalilishwa wanajitakia wenyewe kwa kuweka pesa mbele na penzi nyuma kabisa.

Mimi sasa hivi sitoi pesa bora tukubakuane ngapi tukawekane basi unahudumia mtu kumbe anakuona fala mzigo ukikata anakutenezea zengwe baki tu na utelezi wako
 
Simply, ukiwa kwenye mahusiano, suala la kutoa pesa ni la kawaida sana sana sana. Hii haijawahi kuwa mzigo kwa mwanaume anaemjali mwanamke wake coz atawish kumwona akipendeza, then mahitaj mengne pia apate n.k....
Binafsi cjawah kuchoka kutoa pesa kwa mpenz wangu bt wakat anaomba aitolee sababu. Hapo bado moments tnapokuwa pamoja..... So kutoboka nnatobokaga haswa coz I lov the lady and sion sababu ya kutomtimizia mahitaj..

Tatzo la mwanaume asotoa ela...
hana mapenz ya dhat na huyo gal
ana wanawake wengi, so anachofanya n kukwepa multiple requests
hana kipato
hana ndoto na huyo mwanamke.
 
Simply, ukiwa kwenye mahusiano, suala la kutoa pesa ni la kawaida sana sana sana. Hii haijawahi kuwa mzigo kwa mwanaume anaemjali mwanamke wake coz atawish kumwona akipendeza, then mahitaj mengne pia apate n.k....
Binafsi cjawah kuchoka kutoa pesa kwa mpenz wangu bt wakat anaomba aitolee sababu. Hapo bado moments tnapokuwa pamoja..... So kutoboka nnatobokaga haswa coz I lov the lady and sion sababu ya kutomtimizia mahitaj..

Tatzo la mwanaume asotoa ela...
Awwww this is so sweet
 
Back
Top Bottom