Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnalialia sana, punguzeniMtoa mada popote alipo awekwe chini ya ulinzi imawezekana ni mpelelezi huyu
Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Kuolewa sii ishu hapa, ishu ni nyie kuombwa pesa na kulia lia.Uzuri umri ukienda mnakuja kugundua umri ushaenda, vidume vinahamishia mpira kwa vigori wengine, wazo la kutaka kuolewa linakujia ila tatizo historia yako inakuhukumu na watu hawana time na ww.
Hivi vilio vyooote, mnalizwa na watu msiowapenda???? Kweli wanaume mmeumbwa mateso.....Wanaume tunawapa hela wanawake tunaowapenda ukiona mwanaume hadi umuombe hela ndio akupe tena kwa mbinde jua hakupendi
Hakuna namna maana tukiomba unapigwa biti hatariNa manjua kuzitafuta kweli siku hizi
Utaomba ila muda utafika utapoteza sifa za kuomba hela,yaani inafikia kipindi mwonekano wako haufai hata kupigiwa punyeto,then wanahamia kwa vigori.Kuolewa sii ishu hapa, ishu ni nyie kuombwa pesa na kulia lia.
Kwa tunaoombea ndoani mnatushauri nini sasa? Make kwa ambao hawajaolewa mnawatishaUtaomba ila muda utafika utapoteza sifa za kuombwa hela,yaani inafikia kipindi mwonekano wako haufai hata kupigiwa punyeto,then wanahamia kwa vigori.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yaani...halafu ukutane na demu ana vicoba kadhaa hivi.....!
Mpaka unawaza, "hivi anafikiri mimi nina mashine za ku print noti?"
Nyie wabinafsi sanayaani ukipewa namba tu hata hujatongoza ushaombwa hela, now sio kama zamani wana wake wamekuwa na tamaa za ajabu bila aibu yaani
This weekend nina bucket yako mkuuKwenye mahusiano yule anayemuhitaji mwingine zaidi ndiye atakayekuwa wa kwanza kuwekeza.
Mwanaume anawekeza pesa na mwanamke anawekeza sex. Mwanaume akitoa hela kabla hajatomba, hapo anakuwa ameshikilia makali vivyo hivyo mwanamke akitoa papa kabla hajahongwa chochote ama vya kutosha.
Mwanaume kumpa mwanamke pesa haimaniishi ndo atapendwa zaidi, badala yake yeye ndiye atazidi kupenda zaidi kutokana na jasho lake alilogharamia kwenye mahusiano.
Kuna wanawake wakimpenda mwanaume wanakimbilia kutanua miguu wakifikiri ndio njia ya kumshikilia huyo mwanaume kinachowashangaza wakishaliwa mapenzi yanapungua ama kuisha kabisa.
Haya mambo yanachanganya sana, kwenye mahusiano kuna upande unaowekeza sana ambao unahitaji upande mwingine zaidi, ila upande wa pili hauhisi chochote kivile.
Wanawake ni Machiavellians by nature. Ndio maana wamefanikiwa kuwaaminisha wanaume kuhonga ni kawaida ila sex hadi badae badae au hadi ndoa kabisa. Yaani mwanamke kwa kuwa na qumar anaweza kukamua chochote toka kwa mwanaume na kumkontro kama anatumia remote. Na ni wepesi wa ku move on baada ya kuachana maana hawakuwa wamewekeza kwenye mahusiano pakubwa hivyo kuachana hakuwapotezei pakubwa.
Ushauri kwa wanaume, always dili na mwanamke anayevutiwa na wewe, ambaye atakuwa tayari kukupa papa kabla ya kumuhonga.
Mimi sasa hivi sitoi pesa bora tukubakuane ngapi tukawekane basi unahudumia mtu kumbe anakuona fala mzigo ukikata anakutenezea zengwe baki tu na utelezi wako
hana mapenz ya dhat na huyo gal
ana wanawake wengi, so anachofanya n kukwepa multiple requests
hana kipato
hana ndoto na huyo mwanamke.
Si bora hata hiyo...Wengine mzigo wanataka wale na hela ya upkeep hawatoiUkiombwa hela mwambie Njoo home uchukue! Akija home unakula zako mzigo unampa hela. Mnamalizana kiutu uzima
Awwww this is so sweetSimply, ukiwa kwenye mahusiano, suala la kutoa pesa ni la kawaida sana sana sana. Hii haijawahi kuwa mzigo kwa mwanaume anaemjali mwanamke wake coz atawish kumwona akipendeza, then mahitaj mengne pia apate n.k....
Binafsi cjawah kuchoka kutoa pesa kwa mpenz wangu bt wakat anaomba aitolee sababu. Hapo bado moments tnapokuwa pamoja..... So kutoboka nnatobokaga haswa coz I lov the lady and sion sababu ya kutomtimizia mahitaj..
Tatzo la mwanaume asotoa ela...