Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

Baby i love you kiiila siku bila viambatanisho inachosha jamani. Hata genye haikuji kwakweli, hebu acheni umama bwana!!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… bby i love u so so! Much!
 
Hata Kama unahela kiasi gan,, mwanaume anampa hela yule mwanamke ambaye tayari ana uhakika wa Umiliki juu yake.( She is mine)

Ndio maana kuna mwanaume anayeweza kukushawishi kwa pesa umpe mbususu kama lengo lake ni mbususu.


Mwingine anaihitaji muestablish relationship kwanza ndio awe responsible kwako .

Mlivyo sasa,,,,Mtu atakutongoza, unakua sitaki nataka, Unamlia pesa yake wee, alafu ndio unajilopokesha, " Nina bwana wangu, ananipenda sanaa na mimi nampenda ,sifikirii kumsaliti".


Mnakula nauli za watu. Hamtokeiii....nyie ni watu[emoji23][emoji23].


WANAUME WENZANGU, HUSUSANI VIJANA, MSIOGOPWE KUITWA MABAHIRI ,SIJUI HAUNA HELA SIJUI MASIKINI, NAJUA UNAJIJUA ULIVYO HIVO[emoji116]

[emoji117]Heshimu sana Pesa yako.
[emoji117]Kua na nidhamu na pesa yako.
[emoji117]Iombee Mungu Pesa yako ailinde.
[emoji117]Toa sadaka na zaka.
[emoji117]Saidia wahitaji hata watoto wa mitaani, siku moja moja nunua nguo hata zamitumba ,viatu katoe.
[emoji117]Fanya mamb yako ya msingi


LAKINI USIKAE KUITUMIA PESA YAKO KAMA SEHEM YA KUMFANYA MWANAMKE AKUPENDE, AKUONE KIDUME N.K .....

PENZI ITS AN EMOTIONAL DECISION AND NOT Financial decision na KUTOA PESA ni financial decision na sio Emotional.

huhitaji kutumia Pesa yako Kumfanya akutake, kufanya hivo ni kumfanya ajiaminishe yakua " She is in control ".[emoji777].






[emoji117]GUYS JIKITENI KUITAFUTA PESA NA KUITUMIA KUJIPA THAMANI, KUBORESHA MAISHA YAKO. JIPENI THAMANI , YAAN HATA AINA YA WANAWAKE WATAKAOKUJA KWAKO NI WALE WAPIGANAJI, WANAOHITAJI UWAFUNDISHE JINSI YA KUVUNA PESA ZAO, WANAOHITAJI UWASAPOTI KWENYE JUHUDI ZAO ZA UTAFUTAJ, WANAWAKE AMBAO NI "VERY BRIGHT VICHWANI , WANAOHITAJI KUA HURU KIUCHUMI...



Usipojipa thaman we mwenyewe, maana yake ILI UMPATE MWANAMKE ,UTAHITAJIKA KUA MTUMWA ,UTUMIE NGUVU NA PESA ULONAYO KUMSHAWISHI Ili tu akukubalie.

Nahawa ndio kila siku hahishi kukupiga mizinga ile mikubwa yaan (INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILES) alafu ya mara Kwa mara.



[emoji117]Jipeni thamani , thamani inakupa nafasi ya machaguzi, thaman inakufanya, USIHANGAIKE KWA WANAWAKE...BALI WANAWAKE WAHANGAIKE KWAAJILI YAKO.


UKIJIPA THAMAN, KUMPA PESA MWANAMKE, ITABAKI NI UAMUZI WAKO WA KICHUMI .


UKIJIPA THAMANI, WANAWAKE WEEENGI WATAKUJA YAAN WENGIIIII NDUGU ZANGU, WATAKUJA , NA WAKIJA, SABABU UNA NAFASI YA MACHAGUZI, HAUTAKAA KAMWE KUTUMIA PESA YAKO ,KUMSHAWISHI MWANAMKE AWE WAKO.



SANASANA UTAITUMIA KUMUHUDUMIA MWANAMKE ULIYEMCHAGUA KATIKA HAO WENGII....NAHUO NI WAJIBU WA KIUME[emoji123]
Umemwaga nondo kama β€œPro” i like this article with full of message!
 
Mi nafkr mwanaume tu inabidi iwe ni something of a pride kuprovide kwa mwanamke wako.

Na mwanamke iwe tu ni something of being a woman kujiskia kuwa provided with na mwanaume wako.

Ikiwa hivi hakuna kero wala kujiskia vibaya.

TAKE CARE OF HER vs BE TAKEN CARE OF.
Kinyume na hapo hizi threads kila siku hazitakaa ziishe.
Halafu iwe tu kwa uwezo ulio nao.
Mi naona suluhu kila mtu aishi kimpango wake tu! Mapenzi yameshageuka biashara ya kulipishana kama tozo!

Yani unapomtongoza mwanamke rest assured kwamba kuna operational cost za mahusiano yenu na gharama hizo zinakuhusu mwanaume kwamba lazma umpe hela mwanamke kila akitaka!

Personally, its a form of slavery of exploiting a man for a womans comfort! Hii imeasisiwa na wazungu na wameimpose kwenye jamii zetu na matokeo yake imefikia stage mbaya sana.
 
Mimi pia nishawahi kuwanae dizain hii, pesa anayo,na anajua kipato chake ni kikubwa kushinda mm , hajawahi KUNIPA ZAWADI yoyote Wala pesa, na mm sikuwahi kumuomba pesa , Ila ukienda kwake au mkikutana anafiriki kukwambua baby unanukia na mm naomba uninunulue zawadi ya pafyum kama yako maana hujawah ninunulia zawadi.

Yaani nikaona huyu amezoea kupata wanawake wa kumpa hela na mm siyo type hiyo nikampa kibuti
Haahaaaha

Janaume linaloomba hela aseee huwa ni aibu kwake sema hawajui..[emoji16][emoji16]
Yaan ukitaka mwanamke akudharau kupindukia we muombe hela[emoji848]
 
Juzi tu hapo demu nimepanda nae bajaji...haooo, nikaona hebu ngoja nione kama atajaa nikaomba namba, akanipa, akaniambia nilipie nauli, nikalipa,akashuka, dakika chache tunachati akaomba "tembo"...duh...akaanza kutuma mameseji shazi...View attachment 1964731

Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaahaa

Naona wajina kakomaa mpaka kieleweke[emoji16][emoji16]
 
My Eva kama Eva ila kupewa raha sana ndo hvyo tu feminism inatuharibu na hii haki sawa..mi siio muumini we haki sasa naamini ktk kusaidiana lakini mwanaume atabaki kua mwanaume na anapaswa kunipa haswaaaaa tena anipe vyoteeee,mapenzi na pesa na miye nimpe mapenzi na heshimaa yotee!!!
Wanaume wengi hawalijui hili asee!

Usiombee ukumbane na limwanaume lichoyo [emoji134] bora ubaki hata peke yako ujue moja

Yaan hata genye hupati
 
Simply, ukiwa kwenye mahusiano, suala la kutoa pesa ni la kawaida sana sana sana. Hii haijawahi kuwa mzigo kwa mwanaume anaemjali mwanamke wake coz atawish kumwona akipendeza, then mahitaj mengne pia apate n.k....
Binafsi cjawah kuchoka kutoa pesa kwa mpenz wangu bt wakat anaomba aitolee sababu. Hapo bado moments tnapokuwa pamoja..... So kutoboka nnatobokaga haswa coz I lov the lady and sion sababu ya kutomtimizia mahitaj..

Tatzo la mwanaume asotoa ela...
We ni mwanaume wavulana hawajui haya!
 
Mimi kwakweli mzito kuomba omba sijui kwa ajili ya mazingira niliolelewa, Familia yetu imejijenga katika kujitegemea sana. Hata nikwame kiasi gani huwa sifikirii kusaidiwa yani mara 100 nimkope Bi mkubwa kama anacho wallah... kuomba wakati mwingine ni kujitafutia disappointment tu.
Hakuna kitu kizuri kama kupewa tu bila kuomba tena inakua furaha maana hukutegemea, Bro/Baby akinipa nasema Insha Allah Mungu amzidishie 7 mara 70 .. na uzuri Mungu anaona B huwa anajua jukumu lake kwangu kwa uwezo wake, na mpaka nimuombe mtu kitu nmejikana mara 3 kama petro HakyaMungu
 
Mimi kwakweli mzito kuomba omba sijui kwa ajili ya mazingira niliolelewa, Familia yetu imejijenga katika kujitegemea sana. Hata nikwame kiasi gani huwa sifikirii kusaidiwa yani mara 100 nimkope Bi mkubwa kama anacho wallah... kuomba wakati mwingine ni kujitafutia disappointment tu.
Hakuna kitu kizuri kama kupewa tu bila kuomba tena inakua furaha maana hukutegemea, Bro/Baby akinipa nasema Insha Allah Mungu amzidishie 7 mara 70 .. na uzuri Mungu anaona B huwa anajua jukumu lake kwangu kwa uwezo wake, na mpaka nimuombe mtu kitu nmejikana mara 3 kama petro HakyaMungu
Kwa kweliii, Mimi pia huwa najifikiria kuomba hela, Bora ulibahatika kumpata anayejiongeza
 
Kwa kweliii, Mimi pia huwa najifikiria kuomba hela, Bora ulibahatika kumpata anayejiongeza
Huyo wa kujiongeza sio kwamba ndo kila siku unakaa unapewa, yani inatokea tu sometimes [emoji23][emoji23], kikubwa kutambua responsibility yake basi....
Kuomba omba ni utumwa, kuna watu unawaomba mchongo tu anakuzungusha wakati huo mchongo ukiupata unapambana mwenyewe kwa nguvu zako ila mtu anakukunjia hapo hapo.. fikiria inavyouma!
Hapo hujamuomba mtoto wa mama mkwe kitu, oh mara sijui nani anakudai mwisho wa siku stress zinakuua! Bora useme tu bwana weeh nikikwama basi Mungu niongoze nijalie mkate wangu wa kila siku! Mambo mengine yakija basi Insha allah
 
Nilimdharau saana na nilikuwa napenda ,ndo maana nilikuwa namvumilia japo hanipi ata sent, nilivoona anaomba na zawadi nikamuacha,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

"Bby naomba uninulie pafyumu "

Hii kali asee

Kuna dubwasha moja na mimi liliishawahi kuniomba zawadi, ukikaa kidogo mara Wity naomba uninunulie kitu fulani, yaan linaomba omba ovyoo

Siku nikaliweka kitimoto nikaliambia " we mwanaume unajidhalilisha kuomba omba vitu wanawake, huoni hata aibuu toto la kiume kujiliza liza kwa mwanamke"!? Haahaa asee aliona aibu sana
 
Back
Top Bottom