Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Hiyo mentality ya kuwa kanisani Kuna wanawake WA maana wa Kuoa ni Mbaya Sana.. Kuna mishetani mingi Sana ipo makanisani kujificha huko ili yaonekane ya maana lakini kumbe ni madangaji
Hii siyo mentality bali ni uhalisia, ni bora umtafute yule ambae tayari ameonesha nia ya kumrejea muumba wake kuliko ambae tu yupo yupo, haimaanishi kuwa mtaani hawapo, wapo wengi kwa mamilioni

Lakini mtoa mada anasema kakosa kabisa thats why nikamwambia aende kanisani kule wapo wengi sasa kwa maamuzi yake awe serious kumtafuta,wakimtanguliza Mungu mbele yeye na mkewe mtarajiwa
 
Balqior Mkuu tuko njia moja kwenye hili, ebhana swala la kupata mtu wa ku settle ni gumu sana
Mnachagua sana Hadi mnaboa mnasahau kuwa hakuna aliekuwa perfect

Chagua wako hayo madhaifu yake mawili matatu tafuta namna ya kusolve muweke unavotaka hata Hao wakamilifu walikutana na watu wakawaboresha ndio mnaona Leo ni wakamilifu
Msisahau Dua kumuomba Mungu sio mtu ukiamka kazini ukirudi pombe ukichoka kulewa ni kubadili wanawake chukua muda Amka usiku Sali Mungu akupe mtu sahihi
 
Umenichekesha. .. eti kesho kutwa anawehuka...
 
Ujumbe murwa kbsa
 
Acha kulalamikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mwanaume akikupenda Yan huombi kabisa inatolewa bila shida πŸ˜‚πŸ˜‚
Sijalalamika nimemjibia mtoa mada kwamba jamaa anacholalamikia ndio wengi wanalalamika humu jf kuwa wanapata wanawake wanaowaomba sana hela.but kwa upande wangu ninavyoona mwanamke kama hakupendi vizinga vitakuwa vingi sana hilo wameshindwa kulijua
 
Kabisa umeongea point
 
Acha kulalamikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mwanaume akikupenda Yan huombi kabisa inatolewa bila shida πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna mdada mmoja huyo nlikuwa na nia nae nzuri tu, kwenye session za mwanzoni za kujuana nae nlikuwa naona she's struggling financially, nlimtongoza, her response was quite good, nkawa nampa hela mara kadhaa bila yeye kuniomba, na nlivokuwa nampa sikuwa na haraka ya kumuomba mzigo, wala kumuita gheto.

Nlitegemea kwa treatment nliyokuwa nampa, anione as a good man, anichukulie serious.

Aliponichosha ni siku ya tatu baada ya mshahara kutoka (mshahara ulitoka Thursday) maana tunapiga job sehemu moja, na mshahara wangu na wake ni sawa tu, ananiambia nimtumie 25k, coz hakuwa na mda wa kwenda benki.

Nilisoma sms yake huku miguu yangu ikiishiwa nguvu, nlichoka, nkajisemea huyu ndo ntafanya nae maisha kweli, ila nlimwelewa, hiyo hela sikumpa, na sikuendelea na process za kupeleka mahusiano stage ingine. Aaliyyah Kapeace binti kiziwi
 
Wanawake wa kuoa wapo, ukiona unapata wanawake waovu ukasema wema hakuna, shida iko kwako especially on your character. Badilisha hapo then utaanza ona mabadiliko.
 
Inaanza na wewe mkwenyewe Kwanza kujitengeneza kuwa mume Bora na baba bora.
Huyo mwanamke wa maana anapoomba Mungu ampe mume mwema Mungu akiangalia duniani anakuona wewe.
 
Mi huu uzi umeniita bure tu haunihusu! Mi huwa naomba laki 4 siku ambayo na mi nimepokea mshahara!

As guilty as i am sina cha kushauri.
 
Nakuhurumia ila nakucheka ni kama mademu wamekugeuza zoba flani hivi
 
Nakuhurumia ila nakucheka ni kama mademu wamekugeuza zoba flani hivi
😁 Almost kila mwanaume ana story inayofanana na hii yangu, huyo bidada ana miaka 29 hajaolewa bado, anadai hana mtoto, kumuuliza why yupo single anasema hajapata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli.

kwa vile nlikuwa nae serious nika play a role of a good man, weeeh

Tangu siku ile nlimkaushia, no kumuomba pussy,no kumpa hela, no kumfaham zaidi ni hi tu, sahiv naona hata nikipost status zangu za Whatsapp haziangalii kama mwanzo, sijui kosa langu ni nini πŸ˜ƒ Kapeace
 
Sasa status za nini we mwanaume! Mpotezee na namba yake futa tupo wengi usisumbuke na huyo 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…