Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

Asikudanganye mtu ndoa ni kama tyre za gari lazima moja iweiwe tu ili iendeshwe na nyingine
 
Toa points mkuu tunasubiria hapa
 
Utakayempata mpe taarifa kabisa unahitaji "Mke Kwanza", mengine ndiyo yafuate.

First thing first, kila mmoja atimize majukumu yake kama mume na kama mke, then integration ije itokee automatic kwenye hizo responsibilities zenu.

Oaneni mkiwa na lengo la ku persue maisha ya ndoa, familia kisha mengine ndiyo yafuate.

Mkiweka personal priorities mbele hamtafika mbali mtaanza kuona maisha ya ndoa ni machungu.
 
Dua za nini wakato wengine hatujapata na hautuombei dua?

Kama vipi muachane tu
 
Hakuna mme au mke wa maana au aliyekuwa wa maana bali unayo nafasi ya kumtengeneza unavyotaka awe. Cha msingi
1. Umpende kwa dhati
2. Umfanye akuamini 100%
3. Uwe na nyenzo: uwezo wa kumhudumia kimwili, kihisia na kiuchumi. Hapo utamfanya awe bora
 
Inamaana dunia ya leo imekua ngumu hivyo kupata mke? ..πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Mizinga mnapigwa saana unakuta mtu analipa deni hewa dukani Kwa mha
Hili swala linaniuma saana
 
Haha umenikumbusha mchaga mmoja nilikuwa na date naye. sasa tukiwa chumbani mchezo umenoga anaanza kupiga kelele akisema utanipa zawadi gani? Utanipa zawadi gani? Basi utam wote unaishia hapo hapo. Kwa tabia hizo mama baby mama wataongezeka tu.
 
Muombe Mungu akuoneshe mkeo halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…