Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

Huyu anaweza akawa Joyce Kiria mwanamke mjinga sana huyu
 
😂😂😂 wanawake wa sasa mnachekesha hivi ni nani anawaambia mwanaume anazeeka.wanaume wanaozeeka ni beta males wanaoishi kimayai ila sisi wengine tunapeleka moto kama kawa tunazeeka ngozi tu😂😂😂😂ila body linafanyiwa tizi kwa ajili ya kuzalisha vibinti vyenye chuchu zao.sio wewe mwenye kandoro na minyama uzembe kwanza utakichepuka unakuwa haumizi mtu bali unachukesha😂😂😂😂 eti limama zima lenye miaka 45 unataka kushindana na slay queen wa mjini aiseee imbombo ngafu!!!!😂😂😂😂
 
My brother nagonga like, men we are born to hustle sasa ya nini tuwe na wasiwasi mwanamke anapodai mali mgao, mali tutakufa tutaziacha, zikipotea tutazitafuta tena kwanza Mungu atazidi kubariki zaidi, na isitoshe mwanamke unaemuachia amezaa nawe ni watoto pia watafaidi, namshangaa sana mleta mada kushadadia kwa mwanaume kufirisika shameful
 
Yani wewe jamaa ni moja watu very gentleman only if its true unaishi kwenye maanidishi haya uliyoandika hapa , upo vizuri sana kama upo positive hivi wewe Mungu atakubariki sana, umeongea vyema sana i wish most of men wachukue ushauri wako watafaidika sana, naongea hivi kwa kuwa napenda sana kuona mwanaume kuwaza kiujasiri hivi
 
Wewe una Ukichaa, Karudie kusoma Historia... Hakuna Mtu anaitwa Melinda kwenye Historia ya Microsoft.
 
We anakuhusu nini mtu mwenyewe unaishi kwa chini ya dola moja kwa siku, kwahiyo we unamsujudu kwakuwa ana hela nenda basi akakuoe wewe
Nan amekwambia mm namsujudu,acha mawazi mgando ww pan'gan'gaa,mnapinga teknolojia ya mzungu ili hali hapa unanijibu kwa kutumia teknolojia ya mzungu,madawa yenyewe mnaletewa na hao hao wazungu pan'gan'gaa wewe
 
AAaaaaa kweli hiyo?: Mbona search inaonyesha Founder ni Paul Allen na Billy Gates chini ya CEO: Satya Nadella
 
Na mwanamke utayempata halafu akadai talaka ikatakiwa mgawane mali pasu kwa pasu from that day "you will no longer be a man" wao wanaita "mwanaume suruali"
 
Sababu ni kwamba Walienda Tanga Mapenzi yalikozaliwa, Mzee Gates kashindwa kuvumilia huenda Kampata Mwajuma Ndala ndefu wa Kibanda Maiti Muheza Tanga
 
Bill gates is too ugly and creepy .it’s time kwa melinda kupata Mwanaume wa ukweli .
Too ugly ukim-compare na nani?

Mi naamini bi kidude angepata fursa ya kuwa na pesa usingeweza kumringanisha na huyo melinda kwa urembo.
 
Sina utajiri ila nilipokuwa najenga kakibanda kangu nilimkabidhi wife na watoto kuwa nyumba yake na watoto. Hata ikitokea tukiachana ni mali yake sitadai chochote ntasonga mbele na maisha mengine.

Haya mastress mengine tunajitakia tu. Najaribu niishi maisha rahisi yasiyoumiza kichwa.
 
Umenena vema. Tusiumize vichwa sana. Provided una brain na nguvu songa mbele na maisha mengine kiroho safi.
 
Kamwambie baba yako kwanza.ukimalizana nae uje kwetu.
 
Nilikuwa najiuliza Bill gates hana prenup? Dunia hii wanawake hawa kama mleta mada unaanzaje kuruka bila parachute!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…