Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

Wanaume mna Cha kujifunza juu ya wanawake Kama mnavyo ona akili ya mtoa post.

Ukizembea tu imekula kwako .....zalisha utakomboa mtoto .... Kama wakina 50 cent vile ...... Kuoana na mwanamke mnae chuana uchumi sio hizi takataka unazitoa huko Cha thaman wanacho miliki Ni smart phone na vibegi vya kubebea mafuta ya kulainishia marinda wanavyo nyanduliwa.

Wanawake wa Sasa hauhitaji akili nyingi kwenda nao sawa ,unahitaji moyo mgumu wenye maamuzi magumu.
 
Na mwanamke utayempata halafu akadai talaka ikatakiwa mgawane mali pasu kwa pasu from that day "you will no longer be a man" wao wanaita "mwanaume suruali"
I'm the one enjoying .... Who cares what they call me? Or label me as?
It's almost impossible to be broke ukishafika level ya bill gates.
Mahusiano ya Tandika hayafanani na haya mahusiano ya Bill gates.
 
Kwani kuachwa ni tatizo??? kuna haja gani ya kufuga ng'ombe kama nina uwezo wa kununua maziwa kila siku??
 
Safi sana mzee baba hivi vitu tunavitafuta na kuviacha hapa duniani, kufanya hivyo ni upendo mzuri
 
Wote washazeeka wangebaki kulea wajukuu tu sasa,wasituchoshe mashabiki ata tukiwajadili hakuna cha kupunguza wala kuongeza
Aliekuambia kazeeka Nani .Unaona wanawake wa bill gates na trump na bill clinton wanasafirishwa dubai wamekamatwa jumamosi .Huko dubai







 
I'm the one enjoying .... Who cares what they call me? Or label me as?
It's almost impossible to be broke ukishafika level ya bill gates.
Mahusiano ya Tandika hayafanani na haya mahusiano ya Bill gates.
Unapataje stimu ya kuinjoy kuona mali zako zikienda kwa mwanamke?

Happiness without racks can sometimes be impossible
 
Mkuu, hii taarifa umeisoma kwenye gaazeti la wachina nini
 
Wamama hamzeeki nani kawadanganya miaka 35 tu mnazeeka na mlivyo walafi wa kula hovyo na mazoezi hamfanyi hata kazi za bustani ni house girl mlio wengi wavivu. Miaka 39 kama bibi wa 60yrs tunawavumilia tu tumezaa. Kazi za ndani tufanye na hela tuwape? Labda tuwe tumerogwa
 
Unapataje stimu ya kuinjoy kuona mali zako zikienda kwa mwanamke?

Happiness without racks can sometimes be impossible
Huwa ni 50%.
Baada ya hapo ni mwendo wa freaky sex on prenup.
 
kumekucha !

ila nawashauri wanaume wajenge maisha yao ya baadae
manake mwisho wa siku hao wanaowahangaikia 85% hawana shukurani including mke na watoto

Naunga Mkono Hoja 🍹

 
Wewe ni muongo. Hii habari ni toka April 7 View attachment 1773047
Yes he is known for bringing women to elites .More bombshell to come
 

Naunga Mkono Hoja 🍹

Kwa nini haswa mnaona mali Katengeneza bill gates .Angalia Wikipedia ya Melinda gates . sio wanaume tu wanaojua kutengeneza pesa bwana .mnatumia wanawake mkifanikiwa mnasepa
 
Hamuwezi kufanikiwa bila mwanamke mkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…