Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Ndo maana mkifa wake zenu wananenepa na kupendeza balaa
Sasa,mamaa Nangai,nyumbani kuna unga,mchele,tambi,vitoweo,mboga za majani na viungo kama vyote unataka nini tena?Na hela ya mwisho wa mwezi niliyoiacha hata nusu haijatumika.Wanawake huwa mna vituko tu mkiona hela ameshika mume.Mnataka mzimiliki zoooooteeee!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanaume hatuachi hela, tunaacha kadi mama ajichotee mwenyewe anavyotaka akiridhika ajue yeye mwenyewe karidhika wapi.

Mimi nitajuaje atakachohitaji ghafla wakati sipo?
 
Inauma maana najua unaenda kuwapa malaya
 
Kwahiyo ni Bora ukahonge ?
 
Tafuta za kwako acha kulilia hela za mwenzako, ni kwa sabb ya wadada kama nyiny ndio wanasema ndoa ni utapeli, unataka akupe nying ni za kwako ?? Mmetafuta pamoja ?? Uchoyo tu muone vile
 
Poleni sana...

Wote mnapewa sawa, sema tafuti yake wewe unapewa kwa siku mwingine anapewa kwa mkupuo...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…