Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

Una point. Hilo ni tatizo la mashoga pia, wanalaumiwa wanaofanyiwa, wanaofanya na ndiyo waharibifu, wanapuyanga tu
 
The best comment of the day
 
Leo umeandika point 🤝🤝🤝
 
Kama una mtoto wa kike hakikisha unampa elimu na exposure ili awe independent chanzo kikubwa cha single mothers ni tamaa.

Single mother pia anakosa thamani akiwa hana financial muscles lakini akiwa vizuri kichwani na anakipato that should not be a problem.

Each one teach one
 
Tunashukuru hata wapo wanaume wa kutupatia watoto,hayo mengi usiyajali wapuuze.....wanaume sasa ni wachache sana wengi wamekimbilia uwanawake.,....nao wanapiga ndulu"babe usiweke yote![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
duuu kumbe ndio unamauzi hivi
 
Swadakta chief
 
Yes wanaume wanaweza kuwa chanzo cha single mothers, lakini iwene wewe mwanamke uzae na mtu ambaye sio mumeo?

Mtu hajakuoa, unakubali vipi kubeba mimba yake?
 
Mtu anaanza kushiriki ngono/kufanya mapenzi kabla hajaielewa elimu ya mahusiano si mabinti si vijana kijana mwelewa hawezi kukataa mtoto na ana uhakika ni wake 100%

MASINGO MAZA M/MUNGU ATAWASAIDIA INSHAALLAH

NB
Ukibebeshwa mimba ya kwanza na jamaa akakataa mimba baada ya kuzaa mtoto wako achana na wanaume Lea mtoto wako jitafutie biashara jenga uchumi wako vizuri sijasema usishiriki penzi shirki Kwa tahadhali usipate mimba nyingine kaa lea mtoto wako

Sio tena

Umeshaachiwa mtoto na kijamaa huko unapanic unaanza kugawa utamu kwa kila mwanaume kwa kigezo upate pesa ulee mtoto wako mambo hayapo hivyo hauwezi kulea mtoto Kwa kutegemea mtomboz utaachiwa na watoto wengine maisha yawe magumu zaidi na hadhi yako ishuke zaidi.. take care binafsi nna moyo mdogo sana nnapomuona singo maza daah inakuaje! Sasa mnawakimbia na mna uhakika watoto wenu na miaka ya baadae mnakuja kuwataka watoto wakawaone mama zenu Na huduma mlikuwa hamtoi wala nn? Sengez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…