πππNimewahi kuazimwa simu mtu apitie issue fulani hivi mtandaoni, nikatoa password nikajisahau nikapitiwa usingizi, saa nane usiku namulikwa na torch usoni kama nimelala, nilivyoshtuka nilikutana na Varangati la normal txt na DM's za Insta.
Tulikesha hadi asubuhi, maana nafsi ilikuwa inagoma kabisa kulala nisije kumwagiwa maji ya motoπ
Nimekusoma my Wii wew ni genius sana ππWii ππ
Lazima mkeshe mnaangaliana mkuu, Hawa viumbe wana hatari...Nimewahi kuazimwa simu mtu apitie issue fulani hivi mtandaoni, nikatoa password nikajisahau nikapitiwa usingizi, saa nane usiku namulikwa na torch usoni kama nimelala, nilivyoshtuka nilikutana na Varangari la normal txt na DM's za Insta.
Tulikesha hadi asubuhi, maana nafsi ilikuwa inagoma kabisa kulala nisije kumwagiwa maji ya motoπ
Sio pigo zangu hizo, nilisha acha..ππππ
Hivi si muachage umalaya lakini..??
huwa Tunachoka sasa kulitafuta limtu kila siku pindi akianza kujibu tuuu tunarelax tuwe tunatafutwaaUnakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu ku reciprocate the love ni kama anakua ameharibu.
Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha kwanini inakua Ivo Wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa na mkajua mnarudi nyuma. Tufanyaje wanawake tushauriniπ₯Ίπ₯Ί
Nimecheka sana πππ, au anajifanya anakushikashika nywele kumbe anataka akumalize,Wanawake bhana unaweza ukashtuka usiku mtu amesimama pembeni ya kitanda ameshika Simu anakumulika na Tochi usoni ππ
Hata Sala ni mara5Hii nayo ya simu za kutwa mara 7 mnawezaje π
Kauli kama ya muigizaji flan hivi wa movies za kibongoSio pigo zangu hizo, nilisha acha..π
Mkishajipata mnatafuta wale wa size yenu sasa..!! Wale walikuwa wanawavumilia mnawaona wamekuwa wamama..!!Kumkuta mwanamke aliyezama kwenye utafutaji na anaelea watoto kikamilifu ni sawa na kupatwa kwa jua (wapo ila ni wachache mno), vivyo hivyo mwanaume kama hajajipata na kama ana msimamo juu ya ndoto zake kifedha lazima ahangaike tu na katika hicho kipindi hunekana "kama" hajali kuhusu mapenzi.
Tuvumilieni katika hiyo phase ili wakati wa kutulia tuenjoy mapenzi sasa, ukifuatilia kila ndo zilizofika uzeeni hiyo phase haikukosekana.
SIMAANISHI UKAE KUVUMILIA PASIPOKUWA NA NIA.
Sijui kwa wenzangu, lakini kwa upande wangu kupendwa nataka kupendwa sana fanya mbwembwe zote lakini masuala ya kugandana sitakiUnakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua Na juhudi Sana Na wewe utapigiwa Sana message Kwa Sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention Kwa Sana the moment tu mwanamke ameanza tu Ku reciprocate the love Ni kama anakua ameharibu.
Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha kwanini inakua Ivo Wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa Na mkajua mnarudi nyuma. Tufanyaje wanawake tushauriniπ₯Ίπ₯Ί
Kwann ulimmulika shemeji na torch usiku? π€£π€£π€£πππ
Hivi si muachage umalaya lakini..??
Nimecheka sana ππMnaishiwaga vituko nyinyi ππ
Hahaa π π πKwann ulimmulika shemeji na torch usiku? π€£π€£π€£
Wii hivi viumbe ukivijulia wala havikupi shida ππNimekusoma my Wii wew ni genius sana ππ
ππKwann ulimmulika shemeji na torch usiku? π€£π€£π€£
πππHii mbayaKuna Ile unanuna ili ubembelezwe lakini haubembelezwi
Wanawake bhana...Nimecheka sana πππ, au anajifanya anakushikashika nywele kumbe anataka akumalize,
Ukiona mwanamke anakushiga kisogo tandika, ukiona anakupuliza tandika na achana nae, tushajua siri yenu