Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
😂😂😂Nimewahi kuazimwa simu mtu apitie issue fulani hivi mtandaoni, nikatoa password nikajisahau nikapitiwa usingizi, saa nane usiku namulikwa na torch usoni kama nimelala, nilivyoshtuka nilikutana na Varangati la normal txt na DM's za Insta.
Tulikesha hadi asubuhi, maana nafsi ilikuwa inagoma kabisa kulala nisije kumwagiwa maji ya moto😁
Hivi si muachage umalaya lakini..??