Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

Nimewahi kuazimwa simu mtu apitie issue fulani hivi mtandaoni, nikatoa password nikajisahau nikapitiwa usingizi, saa nane usiku namulikwa na torch usoni kama nimelala, nilivyoshtuka nilikutana na Varangati la normal txt na DM's za Insta.

Tulikesha hadi asubuhi, maana nafsi ilikuwa inagoma kabisa kulala nisije kumwagiwa maji ya moto😁
😂😂😂
Hivi si muachage umalaya lakini..??
 
Kagueni Engine kama iko sawa na kama kuna shida jitahidi kutatua ndo tutajua yaliyomo yamo
 
Nimewahi kuazimwa simu mtu apitie issue fulani hivi mtandaoni, nikatoa password nikajisahau nikapitiwa usingizi, saa nane usiku namulikwa na torch usoni kama nimelala, nilivyoshtuka nilikutana na Varangari la normal txt na DM's za Insta.

Tulikesha hadi asubuhi, maana nafsi ilikuwa inagoma kabisa kulala nisije kumwagiwa maji ya moto😁
Lazima mkeshe mnaangaliana mkuu, Hawa viumbe wana hatari...

Kumbe imeshawahi kukukuta enh.. Hii ya kumulikwa na simu 😀😀😀
 
Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu ku reciprocate the love ni kama anakua ameharibu.

Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha kwanini inakua Ivo Wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa na mkajua mnarudi nyuma. Tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
huwa Tunachoka sasa kulitafuta limtu kila siku pindi akianza kujibu tuuu tunarelax tuwe tunatafutwaa
 
Wanawake bhana unaweza ukashtuka usiku mtu amesimama pembeni ya kitanda ameshika Simu anakumulika na Tochi usoni 😀😀
Nimecheka sana 😂😂😂, au anajifanya anakushikashika nywele kumbe anataka akumalize,

Ukiona mwanamke anakushiga kisogo tandika, ukiona anakupuliza tandika na achana nae, tushajua siri yenu
 
Kumkuta mwanamke aliyezama kwenye utafutaji na anaelea watoto kikamilifu ni sawa na kupatwa kwa jua (wapo ila ni wachache mno), vivyo hivyo mwanaume kama hajajipata na kama ana msimamo juu ya ndoto zake kifedha lazima ahangaike tu na katika hicho kipindi hunekana "kama" hajali kuhusu mapenzi.

Tuvumilieni katika hiyo phase ili wakati wa kutulia tuenjoy mapenzi sasa, ukifuatilia kila ndo zilizofika uzeeni hiyo phase haikukosekana.

SIMAANISHI UKAE KUVUMILIA PASIPOKUWA NA NIA.
Mkishajipata mnatafuta wale wa size yenu sasa..!! Wale walikuwa wanawavumilia mnawaona wamekuwa wamama..!!
 
Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua Na juhudi Sana Na wewe utapigiwa Sana message Kwa Sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention Kwa Sana the moment tu mwanamke ameanza tu Ku reciprocate the love Ni kama anakua ameharibu.

Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha kwanini inakua Ivo Wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa Na mkajua mnarudi nyuma. Tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
Sijui kwa wenzangu, lakini kwa upande wangu kupendwa nataka kupendwa sana fanya mbwembwe zote lakini masuala ya kugandana sitaki

Ntakucheki mara moja au mbili sio kila saa nikutumie tu mameseji, au muda wote simu,

hapana maisha hayaendi hivyo
 
Nimecheka sana 😂😂😂, au anajifanya anakushikashika nywele kumbe anataka akumalize,

Ukiona mwanamke anakushiga kisogo tandika, ukiona anakupuliza tandika na achana nae, tushajua siri yenu
Wanawake bhana...

Au unakuta kamtu kananyoa nyusi zote halafu kana ku video call eti kanakuomba hela ya kubandika Nyusi bandia 😀😀😀
 
Back
Top Bottom