Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

Mm naona hizi kampeni za kutokuoa hazina tofauti na za kuhimiza ushoga , mwanaume unapata faida gani kumshauri wanaume mwenzako wasioe? Binafsi nitaoa wanawake wa tano , kama umechukia kufa.[emoji16]
Wengi wanaohamasisha hivyo wana matatizo ama nyege hawana au mitambo yao ya kike au kiume ni nusu kaputi

Au walilelewa na single mother au single father au ni mashoga na wasagaji au ni wale ambao kwa tabia zao au ulofa wao hakuna mwenye mpango wa kuwaoa au kuolewa nao

Hivyo yamejikatia tamaa ndio yenye hizo hoja
 
Kwangu kikubwa ni stability, na kurudi nyumbani kwa wanangu kila jioni.
 
Faida zako hizi zote zinajibiwa na sentensi moja tu " tafuta hela".

Ukishakuwa hela utayapata yote hayo
Mtoa mada kwa jibu hili ni wazi unatakiwa kifahamu sana taasisi hii muhimu aliyoiumba Mungu.

Kama sio uoga unakusumbua bhasi kuna namna huyaelewi maisha.

Huwezi sema kutafuta hela kunaleta malezi mazuri ya baba na mama, malezi ni zaidi ya hela mkuu, familia bora ya baba na mama ni zaidi ya hayo.

Kwa sisi wakristo, ndoa ni agizo la Mungu, na Mungu aliiona uhitaji wake, ndio mana akasema "si vema mtu aishi peke ake". Kama aliekuumba aliona si vema,wewe unatoa wapi ujasiri wa kuikosoa taasisi hii aliyoiumba muumba wako?

Mwisho wa siku uasherati una gharama kubwa. Oa
 
Tunaendelea kusoma na kupata uzoefu kutoka kwenu waungwana
 
Mungu aliiona uhitaji wake, ndio mana akasema "si vema mtu aishi peke ake".
Nadhani hapa hakumaanisha kuishi na mke. Alishauri mtu kuwa na mtu mwingine ndani ya nyumba, yaweza kuwa mdogo wako, kakako, dadako, mpwa ama rafiki.

Mke hajatajwa ktk maandiko hayo (niko tayari kurekebishwa kama nimekosea)
 
That's why SINTOKUJA KUOA, Nitakuwa na wapenzi wanne, kila mmoja atanizalia, ntatunza mtoto tu! Yeye hatokuwa na thamani kwangu!

Ndoa chungu
Wanawake wapuuzi [emoji35]
Mwisho wake utakuwa nn.sio kama unatengeneza sumu Kali kwa hao watoto .uzeeni vitoto vya kukutunza vyote vinangangania kwa mother zao.tumepita uko tunajuta sasa
 
Ngoja tuwasubiri umefanya vyema kuweka baadhi ya hoja ambazo wangekuja nazo

Naongezea Wengine watesema kuwa na heshima katika jamii .. heshima pesa [emoji3] kila mtu atakusujudia kuwa kapuku na ndoa yako uone
Ondoa neno jusujudiwa. Anaesujudiwa ni Allah tu
 
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.

Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto
3-Kupika siyo ishu tena, siku hizi kuna vifaa kibao vimerahisisha mapishi(e.g rice cooker, electric boiler, n.k)
4- Kufua siyo tatizo kuna mashine za kuoshea.
5-Usafi wa nyumba kuna makampuni siku hizi ukitoa buku 30 nyumba inakuwa safi mwezi mzima

On top of that kuna mahusi gals na mahausi boyz wanaweza wakaajiriwa kufanya kazi na 2, 3, 4 na 5.

Ndiyo sababu wanauliza waoe kutafuta nn?

Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
Ndoa ina raha nyingi sana, hata nikikusimulia haitakusaidia, cha kufanya wewe kaoe ujionee mwenyewe
 
Nadhani hapa hakumaanisha kuishi na mke. Alishauri mtu kuwa na mtu mwingine ndani ya nyumba, yaweza kuwa mdogo wako, kakako, dadako, mpwa ama rafiki.

Mke hajatajwa ktk maandiko hayo (niko tayari kurekebishwa kama nimekosea)
mkuu nimeona sasa ww unahitaji shule kidogo..kama tafsiri ndogo tu ya hilo neno umeshindwa bas kubali kupata shule kidogo

Mwanzo2:18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."

ukiendelea pale chini mstari wa 24 unasema "Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja."

kwahyo hapo alikua anamaanisha kuishi na mke na sio hao uliowataja (ndugu, dada , kaka nk)

Mkuu naomba nitumie nafasi hii kukushauri kama ww ni mkristo tafuta usaidizi wa maombi ili ufunguliwe mana haupo sawa japo unaona upo sawa, shetani anataka kukupotezea kusudi la Mungu juu yako kupitia ndoa,ndio maana anafanya moyo wako kuwa mgumu ili usielewe jambo hili lenye baraka

Narudia tena kusema, tafuta msaada wa maombi ili ufunguliwe na uondokane na hii dhana ya kusema ndoa haina faida yoyote ktk maisha ya mwanadamu
 
Mtoa mada kwa jibu hili ni wazi unatakiwa kifahamu sana taasisi hii muhimu aliyoiumba Mungu.

Kama sio uoga unakusumbua bhasi kuna namna huyaelewi maisha.

Huwezi sema kutafuta hela kunaleta malezi mazuri ya baba na mama, malezi ni zaidi ya hela mkuu, familia bora ya baba na mama ni zaidi ya hayo.

Kwa sisi wakristo, ndoa ni agizo la Mungu, na Mungu aliiona uhitaji wake, ndio mana akasema "si vema mtu aishi peke ake". Kama aliekuumba aliona si vema,wewe unatoa wapi ujasiri wa kuikosoa taasisi hii aliyoiumba muumba wako?

Mwisho wa siku uasherati una gharama kubwa. Oa
mkuu huyu ndugu yetu anahitaji shule sana kuhusu hii taasisi ya ndoa..

kwanza yupo desparate sana anahitaji maombi [emoji4]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.

Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto
3-Kupika siyo ishu tena, siku hizi kuna vifaa kibao vimerahisisha mapishi(e.g rice cooker, electric boiler, n.k)
4- Kufua siyo tatizo kuna mashine za kuoshea.
5-Usafi wa nyumba kuna makampuni siku hizi ukitoa buku 30 nyumba inakuwa safi mwezi mzima

On top of that kuna mahusi gals na mahausi boyz wanaweza wakaajiriwa kufanya kazi na 2, 3, 4 na 5.

Ndiyo sababu wanauliza waoe kutafuta nn?

Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
FAIDA ZA NDOA

1. KUPATA MSAADA KUTOKA KWA MKE WAKO/MUME WAKO PINDI UNAPOPATWA NA MAGONJWA MAKUBWA NA MAZITO YA MWILI WOTE KWA UJUMLA HUSUSANI SEHEMU ZA SIRI.
-Hapa ieleweke kuwa kama ni mwanaume na ikatokea umepatwa na magonjwa mazito na makubwa kama tezi dume, unaharisha, umepata kilema cha mikono au miguu. Hapo mtu pekee wa kukuogesha na kutoa kinyesi chako kitandani na kusafisha kitanda wakati wewe hujitambui ni mke wako tu na hakuna namna, tena itokee huyo Mke wako uliishi nae vizuri kwa kumjali possibility ya kukuhudumia vizuri kwa asilimia 90% hadi 99%.

Hapo kumbuka hata dada wa kazi kuna vitu atashindwa tu kukuchamba chamba na kukutawadha. Alafu itokee umelazwa hospitalini tena kwa muda mrefu sana hata mwaka au miaka miwili, mtu pekee ambaye kuna uwezekano wa kuwa anakuja kukuona hadi mwisho ni Mkeo au Mumeo, Ndugu wa kawaida wanaweza waka Give up.

Nafahamu hii point namba moja kuna vijana wa hovyo watakaoipinga kwa kusema mke au mume huwa wanabadilika. Sasa endelea kuamini huo upumbavu kaa usioe, alafu siku upo Geto kwako unaumwa ukose kuhudumiwa kwa dhati, sijui atakuja Mama yako Mzazi kuja kukomaa na hilo rungu lako na uchi kwa ujumla kukusafisha.

2. WATEGEMEZI WENU KUENDELEA KUWA NA FURAHA ENDAPO MWANANDOA MMOJAWAPO ATAPATWA NA MATATIZO.
Wategemezi wa wanandoa ninaowazungumzia hapa ni WATOTO mliozaa.

Chukulia Baba umepata ajali hadi ikapelekea umelazwa hospitali kwa muda mrefu na hauongei wala husikii. Sasa hapa Mke wako pekee ndio anayetakiwa kujua kila kitu tena inapaswa umuandae hata kabla ya matatizo yako kukupata ikiwemo Password ya Bank na vyanzo vingine vya Mapato yako.

Kwa kufanya hivyo basi wakati wewe umelazwa, huku mkeo ataendelea kulipia watoto ada kama kawaida ili wasisimame shule, kama una madeni atayapunguza, kama kodi ataendelea kulipia.

Kwahiyo Watoto atleast wataendelea kuwa na furaha kidogo ingawa Baba au Mama ana matatizo hospitalini. N:B. Wategemezi wengine ni wazazi wenu.

Sasa ukiwa hujaoa, taarifa zako nyingi zinakuwa ni siri yako, siku ukifa unafaidisha Bank na watu wengine. Alafu wanao watakufa kwa umaskini unaonuka

3. KUTOKUINGIA KWENYE KESI ZA JINAI AMBAZO SI ZA LAZIMA
Chukulia nyinyi ni wanandoa usiku mmelala na kuamka asubuhi mmoja amefariki kwa bahati mbaya labda kwa pressure, mawazo au ugonjwa wa ndani kwa ndani wa mda mrefu. Hapo kwa kawaida mwanandoa mmoja aliyebaki atakuwa hana kesi otherwise awe kafanya uhalifu kweli na majirani na ndugu wawe wanajua kuwa ndoa hiyo ina hitilafu na maugomvi. Lakin kama ni kifo cha kawaida kesi hakuna hapo

Sasa wewe Mwamba chukua Demu mpeleke Guest House au Ghetto, kumbe ana stress zake siku hiyo kazimia tu au kafa kabisa ukizingatia hujaoa hapo ndipo utakapojua Segerea ni Gereza au Nyumba ya kulala wageni.
Tena sikuhizi wanaume mnachukua mademu na kukaa nao magetoni bila wazazi kujua, siku kikiumana ndio utajua kwanini MANDONGA MTU KAZI ana maneno mengi kuliko vitendo.

Na wewe Demu siku unaenda kwa mwamba Ghetto, kumbe siku hiyo mwamba kanywa Mikonyagi, kapaka mkongo ili hiyo Mbususu unayompa aikomoe ukichanganya na weakness zingine za mwili, mapigo yake ya moyo yanaenda mbio mara anakuzimikia kifuani kwako, hapo ndio utajua kwanini Nyege huwa zinatoweka ghafla.

Faida za kuoa au kuolewa ni nyingi sana ila kwa leo acha niishie hapa.
 
KILA mmoja anaexpirience ya jinsi wazazi wake walivyoishi.
Ukioa/ olewa na mtu ambae mzazi wake ni single au aliyeachika achana ni hatari kesho nae atakuwa kama mzazi wake sababu ya ile roho inafatilia.
So kweli,mm nimeoa mtu wa hivo now niko nafunga 10 years kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom