Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

Kwanza hakuna mwanamke ambae Huwa anaacha mwanaume kisa amechepuka labda mnawaacha wale dhaifu
 
FUMANIZI HUIMARISHA PENZI.
Ukitaka mwanamke asikukimbie unatakiwa uwe kama mwanasiasa wa Tanzania. Unatengeneza tatizo halafu unalitatua. Huwa wanafurahi na kukuona shujaa. Bila hivyo utaachwa.
NB: Kuwa player kwa nyakati hizi ni kujiweka tu kwenye hatari ya magonjwa na kujiumiza kiuchumi. Kuwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…