Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

Bora umueleweshe maana amekurupuka na essay utazani analipwa
 
Wanawake wakaa kwa players maranyingi ni saababu za kisaikologia tuu.

Mwanamke ni tester by nature, atakua anakujalibu kwa mengi kukujua ili kukuwin. Mfano anakupa kila kitu ila bado anakufuma na wadada means anaona kua upo demanded na wanawake wengine tena huenda wazuri kuliko yeye ndo keypoint yenyewe, means ni challenge ya yeye queen kulituliza kukuwin ili ajiprove kua ye ni mwanamke bora kati ya wengi wanaokutaka thats all.

Bila kumpa iyo challenge mwanamke anajihisi dormant, hajui kama we ni bora kias gani ikiwa hakuna dem wala wanawake wanao mchallenge kwenye colony lake so akiona huko nje kuna mwanaume anapapatikiwa anaona huko ndo kwa kwenda kufanya battle maana she deserve better.

Anyway ushauri wa kiume ni jamaazangu gongeni pisi zilizonyooka, pangilia maisha yako vizuri, hakikisha haueleweki, af kua na misimamo utaona wanawake watavyoteseka na wewe.
 
Real life experience...
Huyu fa... La ndo anachofanya.
Ila nimeamua ama zangu ama zake Hadi abadilike.
 
Ok, sawa, nimekubali sipo sahihi ila Ninachosema UMALAYA haufai na mwanamke kujifanya anapenda playboy ni kuuendekeza.
 
Mpotezee
 
Sasa kampeni ya nisijibiwe ya nini? Hahahaha. Kunipotezea wewe haitoshi unaanza kampeni? Kweli nimekugusa.
Kunigusa huwezi
Maana naongelea mwanaume ambaye anaenda kuwa baba wa wanangu na mume wangu. Hapo umalaya uko wapi? Akupotezee kwa sababu Wewe umeshupaza shingo hutaki kuelewa Uzi ulimaanisha nini umekazana kushusha ma essay sjui una stress huko mtaani. Relax jf sio ngumu ki hivyo.
 
Sasa unapiga kampeni nisijibiwe na Uzi ni wako na najua ungepende watu waujadili ndo maana nikahisi labda nimekugusa. Sina stress, nipo vizuri sana nimeamua tu kusema, MWANAMKE KUPENDA PLAYBOYS NI UMALAYA.
 
Sasa unapiga kampeni nisijibiwe na Uzi ni wako na najua ungepende watu waujadili ndo maana nikahisi labda nimekugusa. Sina stress, nipo vizuri sana nimeamua tu kusema, MWANAMKE KUPENDA PLAYBOYS NI UMALAYA.
Hayaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…