- Thread starter
- #81
ujao bossKwamba asije kuiba tena... kwani wewe hofu yako ni wizi ujao, au uliokwishatokea..!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujao bossKwamba asije kuiba tena... kwani wewe hofu yako ni wizi ujao, au uliokwishatokea..!?
boss unajua sisi tuliojaza YOUTONG za Ma -Ex, huwa hatupendi kabisa hii michezo ya kuibiwa.Sasa wewe unataka tufahamiane dunia nzima... unamuhofia Ex wa mkeo, nawe kuna mtu anakuhofia hukoo... na yeye anahofiwa na mwingine kwingine... SASA SHIDA YOTE YA NINI? Na sisi tuliojaza YOUTONG YA MA-EX, unataka tuhofiwe na wangapi? Kifo cha wengi ni harusi, we piga sherehe tu..!!
Na huo ujao ukishatokea unakuwa huuhofii tena, utangoja ujao tena..!!?? Badi kaazi kwelikweliujao boss
Ok... utachunguzwa na wenza wa uliowajaza KWENYE YOUTONG...!! Think about it...boss unajua sisi tuliojaza YOUTONG za Ma -Ex, huwa hatupendi kabisa hii michezo ya kuibiwa.
Boss, nimeogopa kuweka hapa visa hawa rafiki zangu maana vinaweza kuwaweka wazi utambulisho wao lakini kama ni mkeo anafanya vile na ukagundua aiseeNa huo ujao ukishatokea unakuwa huuhofii tena, utangoja ujao tena..!!?? Badi kaazi kwelikweli
mimi siwezi kumla Ex alieolewa, lengo ni hawa ving'ang'aniziOk... utachunguzwa na wenza wa uliowajaza KWENYE YOUTONG...!! Think about it...
Usiweke, ila binafsi sioni sababu ya kufukua makaburi.. mengine yanatoa harufu mbaya...!!! By the way, kama unataka kupata presha na hatimaye kufwariki.. anza kuwafuatilia ma ex wa mwenza wakoBoss, nimeogopa kuweka hapa visa hawa rafiki zangu maana vinaweza kuwaweka wazi utambulisho wao lakini kama ni mkeo anafanya vile na ukagundua aisee
Na mkeo naye akianza kuwachunguza ma ex wako si atakufa kabla ya siku yake..!?mimi siwezi kumla Ex alieolewa, lengo ni hawa ving'ang'anizi
Cha muhimu niikute tu.. Alafu nisijue lakini ninavyo amini mwanamke ni ngumu sana kuchepuka kama unaenda nae sawa.sasa hao jamaa lazma kuna siku tu watachapa mzigo tena
unatafuta hela ili nini?Kuwekeza muda na akili zako kwenye mapenzi ni ujinga mtupu!
mkuu hili sio ndio balaa sasaPoleni sana vijana, mara kwa mara muwe mnakagua simu za wake zenu, hasa namba ambazo hazija seviwa ila zina sms za watsup ama sms za kawaida ila hazina jina, ama ukiona namba kafuta sms nunua app uzifuate kwenye dust been ujue mshindani wako ana nini cha ziada, fanya mazoezi umzidi.
boss hayo maneno futa kabisa, asilimia kubwa ya wanawake wanachepuka japo ni siri sana... wanaume ndio usisemeCha muhimu niikute tu.. Alafu nisijue lakini ninavyo amini mwanamke ni ngumu sana kuchepuka kama unaenda nae sawa.
Sema siku mkizinguana hawa ma Ex huwa ndo anawafanya backup..
boss mke wako kuliwa ni sawa tu?Kuwekeza muda na akili zako kwenye mapenzi ni ujinga mtupu!
Na mkeo naye akianzavkuwachunguza ma ex wako di atakufa kabla ya siku yake..!?
kweli mkuu, hawa watu sio wazuri kabisaKwani hao wazinzi si wote wana ndoa zao? Wanaume acheni kuwafukunyua ma ex wenu kama wameolewa waacheni
Sawa tu wala sina muda na hayo mambo ya ngonoboss mke wako kuliwa ni sawa tu?