Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Sasa wewe unataka tufahamiane dunia nzima... unamuhofia Ex wa mkeo, nawe kuna mtu anakuhofia hukoo... na yeye anahofiwa na mwingine kwingine... SASA SHIDA YOTE YA NINI? Na sisi tuliojaza YOUTONG YA MA-EX, unataka tuhofiwe na wangapi? Kifo cha wengi ni harusi, we piga sherehe tu..!!
boss unajua sisi tuliojaza YOUTONG za Ma -Ex, huwa hatupendi kabisa hii michezo ya kuibiwa.
 
Na huo ujao ukishatokea unakuwa huuhofii tena, utangoja ujao tena..!!?? Badi kaazi kwelikweli
Boss, nimeogopa kuweka hapa visa hawa rafiki zangu maana vinaweza kuwaweka wazi utambulisho wao lakini kama ni mkeo anafanya vile na ukagundua aisee
 
Boss, nimeogopa kuweka hapa visa hawa rafiki zangu maana vinaweza kuwaweka wazi utambulisho wao lakini kama ni mkeo anafanya vile na ukagundua aisee
Usiweke, ila binafsi sioni sababu ya kufukua makaburi.. mengine yanatoa harufu mbaya...!!! By the way, kama unataka kupata presha na hatimaye kufwariki.. anza kuwafuatilia ma ex wa mwenza wako
 
Poleni sana vijana, mara kwa mara muwe mnakagua simu za wake zenu, hasa namba ambazo hazija seviwa ila zina sms za watsup ama sms za kawaida ila hazina jina, ama ukiona namba kafuta sms nunua app uzifuate kwenye dust been ujue mshindani wako ana nini cha ziada, fanya mazoezi umzidi.
 
mkuu hili sio ndio balaa sasa
 
Cha muhimu niikute tu.. Alafu nisijue lakini ninavyo amini mwanamke ni ngumu sana kuchepuka kama unaenda nae sawa.

Sema siku mkizinguana hawa ma Ex huwa ndo anawafanya backup..
boss hayo maneno futa kabisa, asilimia kubwa ya wanawake wanachepuka japo ni siri sana... wanaume ndio usiseme
 
Kwani hao wazinzi si wote wana ndoa zao? Wanaume acheni kuwafukunyua ma ex wenu kama wameolewa waacheni
 
Back
Top Bottom