Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,979
- 3,105
Hadi kuanza kuishi na mwanamke tayari level ya uvulana imeshavukwa. Sometimes unakuta mwanaume amejitahidi weeeeeee lkn hola! Hebu jiulize nn chanzo cha michepuko?
utulivu my foot
yaani kweli unaona haki kutesa watoto kwa kosa la mke? Kwann uimuadabishe aish kwa amani kwenye mipaka yako ili ulee wanao vzr?
Haya sasa, unafikiri mpo mbali sana? Mpo humu humu gfsonwin. Sasa kwann umlishe mtoto sumu mbaya kiasi hicho, na akija kubaini ukweli baadaye maanake ipo siku baba yake ama jirani yako atampa full stori! Ama ipo siku naye ataolewa ama ataoa na atajionee mwenyewe! Uso wako utauificha wapi!
Wenzetu muwe makini jamani....biblia inasema mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe. Kwa nini hakusema mwanaume? Hiki ni kiashiria kuwa problems nyingi kwenye mahusiano huanzia kwa mwanamke!
kwa iyo nyie haya yakiwakuta sabb ni uchawi sio?
ivi uko kulogwa wanawake huwa hawalogwi?
ivi je huwa hata huruma inakuwa hamna?
Billie asante san kwa kutuambiam ukweli kwamba wabab ni slefish na naona hapa Lizzy atakuwa a,mepata sapoti kwa point yakeTusifichane wanaume wengi wamekua chanzo cha matatizo ya kifamilia kwa sababu moja ya u selfish wetu,Huwa tunajiangalia sisi zaidi kuishinda familia au watoto na ndiyo maana watoto wengi wa Tanzania ukiwauliza nani unampenda na kumuona kama muokozi wako hapa dunianj utasikia "MAMA " Mimi ni mkazi wa gongo la mboto siku ya mabomu wababa tulikimbia na kuacha familia nyuma na watoto walikuwa wakikimbia wakiwa na watoto wamewashika mkono na kuwabeba mgongoni ila wababa tulijikuta tumefika Ubungo kwa mbio na baada ya hali kuwa tulivu ndiyo tukaanza kukumbuka kuwa nyuma tumewaacha wake zetu na watoto aisee Ni aibu sana ilitukuta baada ya kurudi home.
Tusifichane wanaume wengi wamekua chanzo cha matatizo ya kifamilia kwa sababu moja ya u selfish wetu,Huwa tunajiangalia sisi zaidi kuishinda familia au watoto na ndiyo maana watoto wengi wa Tanzania ukiwauliza nani unampenda na kumuona kama muokozi wako hapa dunianj utasikia "MAMA " Mimi ni mkazi wa gongo la mboto siku ya mabomu wababa tulikimbia na kuacha familia nyuma na watoto walikuwa wakikimbia wakiwa na watoto wamewashika mkono na kuwabeba mgongoni ila wababa tulijikuta tumefika Ubungo kwa mbio na baada ya hali kuwa tulivu ndiyo tukaanza kukumbuka kuwa nyuma tumewaacha wake zetu na watoto aisee Ni aibu sana ilitukuta baada ya kurudi home.
Mwanamke hawezi kuibomoa nyumba yake kama mwanaume ataishi nae kwa akili na atasimama katika sehemu yake kama kichwa cha nyumba, kama mwanaume mpumbavu pumbavu tu hajiamini ,hajiekewi nani atamuheshimu?????? Kuwa kichwa lazima utumie akili kuhakikisha walio chini yako wanakutii na kuwa salama.
Kuishi na mwanamke sio sababu ya kwamba mtu kauvuka uvalana, wanaume wengi tu wapo 25-35 lakini akili zao bora hata mvulana wa miaka 14, mtu aliyekomaa kiakili ndoa haimshindi hata siku moja, hata akichepuka lakini nyumbayake ataiheshimu kama madhabahu.
Uwii ila ukifanya hivyo bado pia utakuwa humtendei haki mtoto wako ujue
unajua hata kama ni upendo lkn kuna muda inabidi basi akili ikuamulie kwa busara
ivi brodah mtu unapotelekeza familia afu baada ya muda unarudi tena humo humo kuomba msaada tena kwa lazima unakuwa hukumbuki ama?
je usiposaidiwa huwa unalaumu nini?
sasa inakuwaje wababa hamulion hili?
Shikamoooooooooooo!!!!!!!!!!!! TheDealer
Mjadala kati yangu na wewe umefungwa ati je????
Wana MMU
herini ya mei mosi.........
Leo naomba nije na hoja hapa tuijadili sote kuhusu akina baba...........
mie nawauliza hivi kwanini wanapenda kuwachumisha wengine dhambi? Yaani akina baba kuwachumisha watoto wao dhambi hawaoni tabu. Hivi mnapotelekezaga wake zenu an watoto ama wazazi wenzenu na watoto afu mama ana hustle na watoto hadi wanatoboa huwaga nini kinawapata kwenye akili zenu?
mwishoni sasa watoto wakitoboa mnaaza kulalamika, kuacha malaana ya ajabu ajabu, mnalazimisha kusaidiwa mbaya zaid huwaga hamjui mbele mnachokaga vibaya mkirudi masukari ndo mnayo achilia mbali, magauti na ma kansa.
Kinachowashika akili ni kitu gani? na kwann kwenu nyie moyo wa kusamehe basi hamnaga lakin ikitokea mnahitaj msaada mnataka msamehewe??
Yaani nimekuwa nikichunguza familia nyingi zilitolekezwa na akina baba yaani wengi niliowaona huwaga wanarudi wakiwa na hali mbaya sasa najiuliza ivi walipokuwa wanaaacha hizi familia walikuywa wanawaza nini?
Hivi hamuoni kwamba mnawachumisha dhambi wake/wazazi wenzenu na watoto wenu?? manake wasipokuhudumia ni dhambi afu akikuhudumia kwa shingo upande na penyewe tena ni dhambi, yaani mnatesa wenzenu bila sababu kabisa.
sipendi kutoa mifano ya watu mnaowajua manake sitak kuhukumu lkn nataka nijue kwaninin huwa mnafanya haya kama akina baba/wanaume
Nimekushindwa mwanamke wewe......naona unan geuzageuza tu kama samaki wa zenji! hahahaha!
Anyway ngoja nije pm tumalizie huko!
unless hujanielewa nilimaanisha kwamba kwann akina baba hawaoni hayo uliyoyasema mwanzoni.............Jaribu kuifikirisha kidogo akili yako....nilikuwa namaanisha kuwa tukio la kuwa baba haliishii tu kwenye kuweza kusimamisha mtalimbo na kumpa mimba mwanamke bali pia hukamilika kwa kuweza kukabiliana na majukumu ya kukitunza kile ulichokileta hapa duniani mpaka siku kitapoweza kusimama chenyewe.....usipofanikiwa kuyafanya hayo yote ni dhahiri kuwa umeshajivua sifa za kuwa baba bali umeshakuwa sperm donors......THINK BIG..
Sehemu kubwa,Tatizo ni nyie nyie wanawake.
Unajua jamaa anamke na watoto.unamteka.
Unamfanya asahau familia yake.
Unamfanya achukie familia yake.
Unamuahidi mazuri.
KUMBE UNACHOTAKA NI PESA ZAKE,
AU NGUVU ZAKE.
unamchuna weeeee/unamchosha weeeee.
Akitepweta unamtimua.
Aende wapi?
Hakujua kama anakosea pengine!
Hakujua watoto wanakula nini?
Ila hakua yeye MOYO WAKE ULIDANGANYIKA.
anarudi kwa mkewe kwa watotowe.
Na ndipo mahali sahihi!
Aende wapi?
Wanawake nyie mna jukumu la kuwachunga wanaume.
Na wanaume wanajukumu la kuwalea(mahabatically)
Si jambo zuri. Ila
Mapungufu kaumbiwa binadamu.
Muhimu kusameheana.
Kuelezana,kuelewana.
Dunia Maiuto/dunia njia.
Ya mini ufe umenuna!
Samehe bure,mpokee mwenzio.
Yaliyo pita si ndwele,mgange yawajiayo mbele.na maisha yaendelee.
Kitu kizuri zaidi kwa mtoto kulelewa na baba na mama kwa pamoja.
Ila wanaume tubadilike,tuinamishe macho chini.
Ili familia zetu ziwe na furaha,amani,upendo na utulivu.
KATIKA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA.