Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka royal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote

2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia upendo wake fake.

3. Anakuzalia watoto na kukupiga kampani sana katika shughuli zako kiasi kwamba unaweza usitokee kazini na mambo ya kaenda kumbe lengo lake ajimilikishe biashara yako akutawale.

4. Anatengeneza mazingira ujione unauhitaji wa kutanua biashara au ufungue nyingine sababu ya vijikero unavoviona pale kazin kwa kuwepo yeye kwa mitego alosuka ye mwenyewe

5. Anakushawishi ufungue biashara na ukifungua tu anakushawishi hadi anamleta mdogo wake toka moshi asimamie kisa hana kazi kumbe ndio unazidi jiuza utumwani we mwenyewe

6. Ukifika hii stage hapo ndio unakuwa umejikaanga😆 kila ukitaka kufanya kitu mpaka uwape taarifa hata ukitaka hela kwa matumizi binafsi lazima uwaombe wao maana we ushatawaliwa kisaikolojia ukikosea tu home kote wana kununia na kila ofisi wanalipoti tukio lolote kwa mke hadi ukikohoa kazini chini chini wanapeleka taarifa kwa mkeo. Hapa wanaanza kukuwinda nyezo zako unaanza jiua mwenyewe kisaikolojia mawazo hapa ndio dalili mbaya. Ukifika hii stage unawindwa ukosee uonekane we ndio chanzo. Jirinde sana kwenye hii stage usichepuke ukijichanganya umekwisha

7. Ukifika hii stage sasa ndio huna umuhimu waweza fanyiwa chochote ndio . Wanaanza rasmi anzisha migogoro ili wakupoteze wabaki na mali.

8. Utastuka hii stage hakuna ndugu wako anaweza kuja kwako, mali zako wameshika wakwe, mke mbishi, jeuri wakati alikua mwema hapa ndio dalili ya kifo jua ushatawaliwa kilichobaki ni rehema za mwenyezi Mungu

NB ukitaka jua uko stage gani angalia ndugu zako wanaokuja kwako kama wapo wengi jua upo stage 1 kama wanaongezeka upo stage 2 wakianza pungua upo stage 3 na kuendelea.
 
Kimsingi oa mwanamke ambaye atakupa amani ya moyo sio kupelekesha moyo.
 
Umesahau kuna namna ukiwa huna majini yako wanakufanya zezeta unakuwa zoba 😅😅😅 wapwani na wanyamwezi wa kutoa waume wao misukule
 
Daaah kimsingi angalia huyo mwanamke wa kichagga anataka nini kwako.....wapo wale wanasema kabisa nataka tupambane wote mara napenda mume mpambanaji, mara unafanya kazi gani?? Mara biashara yako ni ipi na una duka au hauna, kuwa makini na wanachotaka.

Uzuri mimi ni mchagga chunguza kwenye koo zao huwa kuna historia gani???kuna koo au katika familia zao wana historia za kujirudia rudia.
 
Bro hii ni chai......
 
Nilijenga nyumba pamoko na mwanamke WA kiiraq (mbulu) akaja nianzishia kuwa nyumba Ile ni yake Kwa kuwa alitumia fedha nyingi kwenye ujenzi zaidi YANGU. Mwisho pale tulipokuwa tunaweka hati aliiba nilipoulizia alidai ameshaichukua... Niliogopa sana na kupoteza Imani Naye. Ilibidi nijenge kiwanja changu kingine na kumuachia Ile nyumba Kwa usalama WA Maisha YANGU.
 
Nakazia, Pwani hoyee
 
Hizo sugu za mkorogo tu kwangu ni ishara tosha ya kumkwepa mwanamke kabla hata hajaongea nijue yukoje😁😁
 
Dah wakuu comments zenu zinatisha sana.
 
Sisi wenyewe tuko makini na sehemu tunazoolewa. Kuna watu ovyo hadi unashangaa wamekujaje duniani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…