Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
So nisijichanganye?Kama Arusha kiburi lazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So nisijichanganye?Kama Arusha kiburi lazima
utalala na viatu sana😁So nisijichanganye?
Kweli hayo linakuuwa kabisa usipo kaa sawaMagoma ya kaskazini hayo ni ya kukaa nayo mbali kwa usalama wako wanaume.
utalala na viatu sana😁
utalala na viatu sana😁
Kimsingi oa mwanamke ambaye atakupa amani ya moyo sio kupelekesha moyo.Shida ya makabila ya Pwani ni ile "Laissez faire" personality. Hawajali kuhusu kupata, kupoteza ila wako serious na comfort zaidi.
Ukitaka kuinjoy maisha unaoa mwanamke wa pwani hawa ukishakuwa na uwezo wa kuwalisha na kuwavisha tu wanatulia tu. Wewe hata uwe pang'ang'a wao watatulia nawe tu na mapenzi tele hawawazi kukudhuru.
Umesahau kuna namna ukiwa huna majini yako wanakufanya zezeta unakuwa zoba 😅😅😅 wapwani na wanyamwezi wa kutoa waume wao misukuleShida ya makabila ya Pwani ni ile "Laissez faire" personality. Hawajali kuhusu kupata, kupoteza ila wako serious na comfort zaidi.
Ukitaka kuinjoy maisha unaoa mwanamke wa pwani hawa ukishakuwa na uwezo wa kuwalisha na kuwavisha tu wanatulia tu. Wewe hata uwe pang'ang'a wao watatulia nawe tu na mapenzi tele hawawazi kukudhuru.
Bro hii ni chai......Lafudhi ni ya kichaga lakini inatoa picha ya uongo. Wanawake wa kichaga hawakosi heshima hivyo kwa waume zao. Infact niseme wanawake wa kichaga kwenye kuhudumia waume zao wako vizuri sana kwa sababu ni moja ya tamaduni za kichaga. Wanawake wenye tabia kama hizi ni wanawake wa uswazi, uswahilini huko.
Nilijenga nyumba pamoko na mwanamke WA kiiraq (mbulu) akaja nianzishia kuwa nyumba Ile ni yake Kwa kuwa alitumia fedha nyingi kwenye ujenzi zaidi YANGU. Mwisho pale tulipokuwa tunaweka hati aliiba nilipoulizia alidai ameshaichukua... Niliogopa sana na kupoteza Imani Naye. Ilibidi nijenge kiwanja changu kingine na kumuachia Ile nyumba Kwa usalama WA Maisha YANGU.Mzee tumeishi nao na watu wetu wa karibu wameishi nao. Ukiona jambo linasemwa na wengi jua lipo kwenye uhalisia.
Kuna tabia ambazo hazipendezi kuwa nazo kimahusiano sasa hawa dada zetu wa pande zile wamezionyesha sana. Ukisema sifa ya utafutaji kwa zamani sawa ila kwasasa haitakuwa sahihi kusema wao pekee yao ni wapambanaji sababu kwasasa wanawake wengi wanalazimika kutafuta pesa bila kujali asili ya mkoa gani.
But tunaongelea ile tabia ya kuchukulia umiliki wa mali very serious hadi upo tayari kuweka roho rehani au kutoa uhai wa mtu ambaye ni mwenza wako ili kubakia na mali yaani mtu hana hisia za kibinadamu yupo kama roboti au cyborg.
Hajali utu wala kujali hisia. Sio wote but wengi wapo hivi. Utu zero craving for money is the life for them. Not good at all.
Mangi product hiyoMimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa.
Pia tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa wanaume.
View attachment 2985405
Rombo mkuu
Nakazia, Pwani hoyeeWatu mna chuki na watu wa kaskazini. Sikiliza. Kwenye makabila kama wakurya, wasukuma, wachaga, wamasai kuna mfumo dume mbaya sana tangu miaka ya zamani. Hili limefanya wanawake wao kuwa watii kwa waume zao. Mikoa yenye wanawake jeuri ni mikoa ya Pwani kwani wanaume wa huko siyo wakali. Na ndiyo wenye wanawake midomo michafu kweli kweli
🤣🤣🤣 hadi wewe mwanangu unanikandia?Umeisha!
Dah wakuu comments zenu zinatisha sana.1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka royal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote
2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia upendo wake fake.
3. Anakuzalia watoto na kukupiga kampani sana katika shughuli zako kiasi kwamba unaweza usitokee kazini na mambo ya kaenda kumbe lengo lake ajimilikishe biashara yako akutawale.
4. Anatengeneza mazingira ujione unauhitaji wa kutanua biashara au ufungue nyingine sababu ya vijikero unavoviona pale kazin kwa kuwepo yeye kwa mitego alosuka ye mwenyewe
5. Anakushawishi ufungue biashara na ukifungua tu anakushawishi hadi anamleta mdogo wake toka moshi asimamie kisa hana kazi kumbe ndio unazidi jiuza utumwani we mwenyewe
6. Ukifika hii stage hapo ndio unakuwa umejikaanga😆 kila ukitaka kufanya kitu mpaka uwape taarifa hata ukitaka hela kwa matumizi binafsi lazima uwaombe wao maana we ushatawaliwa kisaikolojia ukikosea tu home kote wana kununia na kila ofisi wanalipoti tukio lolote kwa mke hadi ukikohoa kazini chini chini wanapeleka taarifa kwa mkeo. Hapa wanaanza kukuwinda nyezo zako unaanza jiua mwenyewe kisaikolojia mawazo hapa ndio dalili mbaya. Ukifika hii stage unawindwa ukosee uonekane we ndio chanzo. Jirinde sana kwenye hii stage usichepuke ukijichanganya umekwisha
7. Ukifika hii stage sasa ndio huna umuhimu waweza fanyiwa chochote ndio . Wanaanza rasmi anzisha migogoro ili wakupoteze wabaki na mali.
8. Utastuka hii stage hakuna ndugu wako anaweza kuja kwako, mali zako wameshika wakwe, mke mbishi, jeuri wakati alikua mwema hapa ndio dalili ya kifo jua ushatawaliwa kilichobaki ni rehema za mwenyezi Mungu
NB ukitaka jua uko stage gani angalia ndugu zako wanaokuja kwako kama wapo wengi jua upo stage 1 kama wanaongezeka upo stage 2 wakianza pungua upo stage 3 na kuendelea.