MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
kwaiyo wewe ukiombwa tu hela unatuma? apo ndo tatizo linapoanzia.Mademu wengi ni ghali halafu ni michosho sana head games nyingi, ukimtongoza Leo kesho mara gesi, mara saluni, mara vocha unashangaa 90k imekatika hujaonja papuchi, wakati chobiksi kwa tsh elf 10 unamwagilia moyo kwa pisi Kali kirahisi
Pia atiba yangu ni tight siku za kawaida ni kazini kuanzia saa mbili asubuhi had saa kumi na Moja jioni, nafasi ninayo weekend jumamosi mchana Na jumapili tu, unaona ugumu ulipo MFALME WETU Nelson Jacob Kagame