Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Umalaya ni tabia tu ya mtu me naona.. cause kuna wengine sio masikini kusema wanashida na hela lakini wanaweza wakaliwa karibu na mtaa mzimamshamba_hachekwi haya lete sababu na huyu nin kimemkuta sasa!!. Umalaya mkuu ni tabia. Mtu hafundishwi..ni tabiaa ile..Kuna watu ni masikin wa kutupwa mabinti ila huwez kumnunua hata iweje, eti upande dau ukamgonge..ni tabia. Nasema uongo Leejay49