Kabisa mkuu watoto wanaishia kuhudumiwa na dada wa kazi tuYes kazi za kuondoka saa alfajiri kurudi usiku wote mmechoka hata watoto tunawakosea ule ukaribu wa uzazi kabisa unapungua sema life ndio inatuendesha hivyo
Kimajuu juu inakuwaje🙃Sahihi, kuwekana ni part ya courtship....kibongobongo lakini.
Ndio baadae tunatengeneza kizazi hatari tusipojitahidi kuwa karibu na watoto wetuKabisa mkuu watoto wanaishia kuhudumiwa na dada wa kazi tu
Ndiyo.Hapa naongelea yule ambaye hata mpango hana anasubiri kuwa mama wa nyumbani,unaweza kudate mwanamke mwenye mindset hiyo?
Salute🫡mnapenda mapambo ya nyumba eehNdiyo.
Mtoto wangu umejiunga jf 2018 juzi tu ila una shobo sana na ujuaji mwingi, yaani una "ego" imekujaa na "huambiliki" , unahisi umemaliza dunia na mitandao ,Ndio nimeuleta chitchat siupeleki kokote kule nenda kanipeleke gerezani ukitaka
Sawa shikamoo babaMtoto wangu umejiunga jf 2018 juzi tu ila una shobo sana na ujuaji mwingi, yaani una "ego" imekujaa na "huambiliki" , unahisi umemaliza dunia na mitandao ,
[/HEADING]
JF-Expert Member
[HEADING=3]nadiegirlie
Joined Sep 24, 2018
na familia huw aimara sanaUsukumani wanawake wote wanaoolewa hawana kazi, huolewa kwajili ya kujenga familia tu.
markhaba !Sawa shikamoo baba
Msalimie mamamarkhaba !
Courtship ni kipindi maalumu cha kuchunguzana mkusubiria ndoa.Kimajuu juu inakuwaje🙃
Haya mambo nasikia hata kwa watu wa Mara huko Tarime mke anaolewa kwa ajili ya kufanya hizo kazina familia huw aimara sana
Ku sustain mahusiano inahitaji zaidi ya hayo. Kubwa zaidi ni jinsi mnavyotatua tofauti zenu ikitokea mkafarakana.Kwako wewe career woman mwenye bikra,na golikipa bikra unaenda na yupi
Wapo sema hawana matacor kwa hiyo hamuwaangalii mara mbilimbili🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa hii inaingia kidini mkuu na kwa wote maana kwa walokole hata mkitaka kutoka out mtoke sehemu ya wazi tena kukiwa na msimamiziCourtship ni kipindi maalumu cha kuchunguzana mkusubiria ndoa.
Uchumba unaohusisha ngono sio uchumba sauihi.
Ila matako yana kautamu kake...kuna style waweza mfinyanga tartiibu ...halafu kichwa ndo kina vyaa bangili cum pusi ting tang ting tang.... lazima apige kale ka ukelele..fan'nshesho nini....Matacor yanaingiaje kwenye mambo serious? Wanawake wenye matako makubwa na wanaume wenye vitambi huwa Hawana akili.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ndio nasema wanawake waliotulia wenye uwife material wapo sema huwa hawazingatiwi sababu uziri wao sio kwa kupiga kelele wanaonekana wa kope ndefu,kucha bandia ndefu na lace wigs kiuno nyigu tako la kwendaMatacor yanaingiaje kwenye mambo serious? Wanawake wenye matako makubwa na wanaume wenye vitambi huwa Hawana akili.
Tena ni kazi kubwa sanaKuwa mama wa nyumbani ni kazi pia.