Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

Nsumba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umejuaje ? Tukiwa na wake zetu wa Nganza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaka angu kasoma Bwiru, alikua akitusimulia habari hizo za ujambazi, afu maugomvi yenu eti wadada wa bwiru wanawaelewa wakaka wa nsumba, na wadada wa Ngaza wanaelewa wakaka wa bwiru,
Mweeeeeeeh

Naye 2009 alikua Advance.
 
Yes, Nganza wakikutana bwiru wanatukana eti kisa wanasayansi halafu sisi wana arts. Na Bwiru girls walikuwa wanatuelewa sisi sana eti wanasema sisi wajanja.
Enzi hizo wakati bado sijazeeka
 
Yes, Nganza wakikutana bwiru wanatukana eti kisa wanasayansi halafu sisi wana arts. Na Bwiru girls walikuwa wanatuelewa sisi sana eti wanasema sisi wajanja.
Enzi hizo wakati bado sijazeeka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa una uzee gan nawee?

Ila boys na girls school raha sana, hasa ziwe karibu karibu. Mweeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa una uzee gan nawee?

Ila boys na girls school raha sana, hasa ziwe karibu karibu. Mweeeeh
Huu huu. Sana tulikuwa tunaenda kusali kanisa la ngaza hata kama sio Mroma watu wanaunga tu ili mradi tukaonane na wananganza
 
Huu huu. Sana tulikuwa tunaenda kusali kanisa la ngaza hata kama sio Mroma watu wanaunga tu ili mradi tukaonane na wananganza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee sana, mweeeeh
 
Pambwani pawanzi mambu ga kukokana pa chilolo, titilahi mlongo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂kabisa mlongo
 
Hawa dawa yao ni kuwapoteza mmoja baada ya mwingine kimyakimya utaona adabu itarudi eneo husika hakuna cha kuangalia sijui moto wa nani
 
Mimi sio mkazi wa Dar, ila natembelea Dar mara kws mara. Siandiki haya kwa kuwatetea vijana wa kiume wanaoshi Dar ila ku-deal na reality sio mihemko.

STYLE YA UHALIFU WAO NI AMBUSH WAKIWA KATIKA KUNDI KUBWA:
Kutokana na ushuhuda hawa wadogo wanakuwa katika kundi kubwa lenye vijana kuanzia 10 hadi 20. Wanakuja katika ambush ya kasi wakivamia nyumba hadi nyumba.

Kwa maana hapo tayari umeshawekwa mateka ukizungukwa na wajinga 10 hadi 20, wakiwa wamekuja kwa kushtukiza na silaha kama mapanga.

So, kwa mara ya mwisho hapo ulipo mkoani ulishawahi kuwa mhanga wa style hii ya uharifu? uliamka ukaanza kugombana na nao na kuwashinda wote.

UHALIFU WA NAMNA HII UNATOKEA GHAFLA THEN KUPOTEA KWA MUDA MREFU:
Hawa madogo wakishafanya haya matukio kwa style hii, haichukui hata wiki wanapotea hewani. So ni ngumu kuwa track hawa wajinga, mtaweka ulinzi shirikishi kwa mwezi au miezi mitatu then mtaanza kupwaya wenyewe. Sio kwa sababu nyie ni wajinga ila hio ni human nature, pamoja na polisi kuwa promise ulinzi mna hisi mtakuwa very safe na pia factors nyingine zitawabana kuwa sincere wakati wote

LIFESTYLE YA DAR SIO RAFIKI KWA USHIRIKIANO KATIKA ULINZI SHIRIKISHI
Watu wanarudi nyumbani saa nne au saa sita, mwanaume kachoka, wife anataka unyumba etc. Dar is the busiest town na the most tiring sio kama mikoani kwetu huku, Dar watu wanapigana na muda wakati wote.

Sawa utasema dar kuna watu wengi hawana mishe, sasa hao ndio wengi wao panyaroad. Sasa hauwezi ukamkamata out of suspicion kwamba ni kibaka labda mfukuze mtaa, whih is not simple.

JAMII YA MIKOANI SIO KAMA YA DAR:
Hapo ulipo wilayani mnafahamiana karibiana na kila mtu, ni rahisi kusimamia uhalifu.

Hapo mkoani kwako kuweka ulinzi shirikishi ni rahisi kutokana na kupata muda kwa kiasi kikubwa na uwepesi kufanya doria kutokana na miundombinu ya mitaa kuwa rafiki sio kama na temeke.

LASTLY:
So kabla mjawaita wanaume wa Dar ni mayai sana, fikiria factors nyingine za kimaisha na mji kiujumla.
 
Acha kutetea ukenge, huku kwetu wangeiba labda nyumba 1 au mbili, baada ya hapo team sungusungu tungewageuza wote mishikaki ndani ya siku 2 tu. Hakuna cha polisi wala mahakama, ni taili tu za gari na petrol...pambaf!!
 
Jana tuu nilitamani nikutane nao mitaa ya tabata maduka kumi nilisikia wapo huko mimi nikiwa mikongeni.
 
Mtu anaondoka kijijini kwao akiwa mwanaume akishafika dar
Spiritually anavaa gauni
Unakuta tu Kuna vitu vinapwaya

Waambie waje Arusha hao panyas waone moto
Arusha ipi mkuu? Hii ambayo mzee Teleza anaingia kwenye nyumba zenu na kuwapiga dushe wake zenu na dada zenu toka mwaka jana mnalia lia? au Arisha ipi sijaelewa?
 
Mikoani ndio wapi? Ficha ujinga wako basi.
 
Waache kujifungia wabuni mbinu washirikiane kimitaa.
Hiyo ya kua busy mda wote ni sawa ipo lakini pia kuna kuiendekeza hadi inafika hatua mtu hajali chochote kuhusu majirani.

Kwa hawa polisi wetu sio vyema kuwategemea wao tu, ni bora basi ndani ya hiyo mitaa kikaanzishwa kitu kama ulinzi shirikishi ama lah nyumba zilipe walau kias fulani kwa mwezi kwa ajili ya ulinzi.
Wakiendelea kusubiri samia aje awakamate hao madogo watafeli, watakua busy kusaka pesa huku vitu home vinaibwa.
 
Watu wanakuja kuja tu kuanzisha uzi. Watu kumi wako na mapanga hata john cena hafui dafu.

Keyboard warriors wa mchongo
Jidanganye hivo hivo.. tuliokulia mikoani tunajua, binafsi nimewahi shuhudia Mwanza kipindi fulani kulikuwa na makundi sana sana, kuna jamaa aliwakalisha si chini ya 10 na mapanga yao. Sasa kweli watoto wa miaka 12 wanafunga mtaa? Acheni bhana uzembe nyie, mnatuaibisha
 
Sio Manyirizu chief watoto wa sahara? 😂
 
Unafananisha wahuni wa unga ltd na hivi vitoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…