Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

Just imagine kundi la vijana 30_50 linatia timu mtaani kwako

Mkiwa hamjajipanga kwa lolote Tena usiku

Halafu mpuuzi mmoja anakuambia tunawaogopa
Mkiwa na umoja ni lzm muwe na mipango ya matazamio mnajipanga ikitangazwa tu speaker KILA mtu anakaba angle yake mwenye bomu,mwenye manati,upinde,kombeo nk
 
Mbona vibaka wa unga ltd hamjawathibiti mkuu?
Si ndio hapo sasa mkuu! Kule Ngarenaro na Ngalimi karibu kila mtaa kuna vibaka wanatembea na mabeto ila wanashindwa kuwadhibiti, ndiyo kwanza wanaambiana ukitaka wasikukabe ishi nao vizuri kuwa rafiki yao, na uwe unawapa hizi mia mbili mia mbili na jero jero za fegi ili uishi kwa amani!
 
Arusha wana ka ushamba inshort katika hii nchi sijaona washamba wa kirimbukeni kama Arusha
 
Acheni uoga wa kipuuzi, hizo bisbis, visu, mapanga na marungu nyie hamjui namna ya kuvipata??? shikisheni adabu hao watoto la sivyo watawapanda kichwani. Punguzeni kunywa michuzi ya pweza, kunyweni uji wa mtama.
 
Halafu ukiwaona panya road wenyewe ni vile vitoto vya bangi kutwa vinashindia mhindi wa kuchoma. Ni dhaifu usipime. Vimekuzwa jina hatari.
Panya road wenyewe walikua KIGOGO ndio wanaofanya kila wahuni waitwe panya road
 
Usiombe yakukute
 
Katiba mpya
 
Waje Arusha hao.... Yaani ni kina mama tuu ndo watapambana nao wawatie adaby
Arusha na nyie kama Dar tu, teleza anawaweka roho juu wanabaka wake zenu na nyie mpo usikute na nyie marinda nina mashaka kama bado mnayo [emoji23][emoji1787]
 
Hivi haiwezekani kweli kwa sisi Wanaume wa Mikoani kutengeneza kikosi kazi cha kwenda kuwasaidia mafunzo ya ukakamavu hawa jamaa zetu wanaume wa Dar, ili kuepukana na haya manyanyaso yasiyoisha kutoka kwa hao Panya road na wale popobawa?

Wanaume wa Dar, mnakosea wapi? Punguzeni uoga bhana!
 
Mikoani huko unaweza kukuta kijiji kizima hakuna mwenye bastola lakini hawa '' gupanya'' kama alivyowaita peter_intelligent hawawezi kuleta fyoko. Mapanga sha sha tu yanawatosha. Tuseme tu ukweli Dar watu wamelegea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…