Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

Wamewahi vamia mbagala sana tu kipindi Cha JPM 2018. Hivi hata issue ya kibiti si ikitokea kipindi Cha JPM? Au vijiji vya Mtwara kuvamiwa na waasi.

Kwanini mnatengeneza picha kuwa hakukuwahi tokea uhalifu enzi zake?

Wewe unajua? Kwanini? Kibiti waliacha kufanya fujo au unaongea tu
 
... duh; sijawahi kuona utetezi wa kisengerema kama huu!
 
Bro ulikuwa ukisumbua kipindi cha MH-JPM unapewa masaa tu watu wanakung’oa alaf unachofanywa siri yako mkuu.. yaani kama ukitoka mzima hauwezi rudia tena mkuu kuwa muelewa
Halifuti kuwa walifunga mitaa wakaiba kwenye maduka watu wakaanzisha thread humu za kupeana taarifa. Kama kuzimaa walizimwa baada ya matukio huenda na sasa watazimwa
 
Sijawahi sikia PANYA-ROAD maeneo ya KINONDONI ( kwa wanaume wa Dar haswaaaa), wanajua wataiona ahera ndani ya dakika sifuri... Wanachagua mitaa ya kuingia ambako silaha nzito ni kisu cha mama ntilie, wanaume wanalala fofofo ndani ya nyumba bila hata panga wala kwanja la nyasi...
 
Kipindi cha MH-JPM hatukusikiaga hizi mambo washaanza kuwachekea tena.
Hii ni kuonyesha kua uongozi uliopo hapo juu hauko dhabiti,ndio gharama ya kuwavunjia wamachinga mjini,walikua wanaokota okota vicent vyao huko
 
Uoga tu huo mmezidi
 
Wewe unajua? Kwanini? Kibiti waliacha kufanya fujo au unaongea tu
Hakumaliza ndani ya wiki ilichukua mwaka mzima..... wanajeshi 20 waliuawa DRC.... Mtwara ilivamiwa na waasi n.k ila yangetoka kwa Samia mngeanza RIP JPM!!

Mnakera sana......
 
Hao panya waje mara tutawafanya kitu mbaya
 
Hakumaliza ndani ya wiki ilichukua mwaka mzima..... wanajeshi 20 waliuawa DRC.... Mtwara ilivamiwa na waasi n.k ila yangetoka kwa Samia mngeanza RIP JPM!!

Mnakera sana......

Jibu swali? Kwanza unajua kwanini? Waliacha harakati zao hao jamaa wa kibiti.. na nikujuze tu wale wa kibiti sio vibaka blue kama hao panya load “ bru.. inabidi ufahamu hilo kwanza
 
Halifuti kuwa walifunga mitaa wakaiba kwenye maduka watu wakaanzisha thread humu za kupeana taarifa. Kama kuzimaa walizimwa baada ya matukio huenda na sasa watazimwa

Sio kwa kukata kata watu mapanga vilee.. mkuu
 
Kinondoni wanakunyoosha mapema tu,Salam wanazipata

Ova
 
Jibu swali? Kwanza unajua kwanini? Waliacha harakati zao hao jamaa wa kibiti.. na nikujuze tu wale wa kibiti sio vibaka blue kama hao panya load “ bru.. inabidi ufahamu hilo kwanza
Who cares, nachojua JPM hakumalizana nao ndani ya mwezi kama ambavyo mnamkosoa Samia utadhani mwezi umepita toka Hawa jamaa warudi upya!!

Then Kibiti ni one thing ila waliendelea kule kusini na Mtwara vijiji vilikua vinavamiwa latest 2020!! Sasa kama walikua hawajafutwa miaka yote hiyo 4 why Mama mnamuona amefeli kiusalama?

Tokea uhuru umewahi sikia Askari 20 wamefia kwenye peacekeeping mission mbona yalitokea kipindi Cha JPM?? Ila ingekua Samia mngesema kafeli kiusalama.

Acheni majungu, JPM alikua average tu msimkuze sana mpeni muda Mama afanye maono yake mumkosoe 2023 huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…