Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?


Mkuu sio kukata kata watu mapanga vilee wamejihakikishia kwamba kila kitu safi tu
 
Kipindi cha MH-JPM hatukusikiaga hizi mambo washaanza kuwachekea tena.
Kwa hiyo JPM alikua anafanya kazi za Polisi au ?
Mbona Polisi ni wale wale na IGP ni yule yule? Au Polisi wanajua kazi yao ni kuilinda CCm ishinde Kwa kishindo. Au nao wamekua wanasiasa wa kundi la Polepole,Ndugai na Bashiru.
 
Kwa hiyo JPM alikua anafanya kazi za Polisi au ?
Mbona Polisi ni wale wale na IGP ni yule yule? Au Polisi wanajua kazi yao ni kuilinda CCm ishinde Kwa kishindo. Au nao wamekua wanasiasa wa kundi la Polepole,Ndugai na Bashiru.

Kama raisi kaenda marekani sijui uingereza kupiga story sisi tufanyaje sasa mkuu
 
Hao Vijana wanapaswa kuuawa wote mmoja baada ya mwingine . Lakini pia ni wakati Sasa wa kuangalia maslahi ya Polisi na mambo wapewe hadhi Fulani kwenye mitaa ili kila mtaa uwe na walinzi wa kushirikiana na Polisi.


Ni hatari sana kuwa na jamii na serikali yenye Polisi na serikali inayoogopa Tishirt iliyoandikwa "Tunataka Katiba Mpya " na kuzisaka mpaka uvungu lakini inashundwa kujua vikundi vya kigaidi vinavyowanyima wananchi usingizi .

Serikali Sasa iache Polisi wafanye kazi yao ya ulinzi na usalama wa watu na Mali zao.
 
Sasa ilichukua wiki moja au Kibiti ilichukua mwezi tu? Au ulitaka malalamiko yatoke Jana Leo ujambazi uishe?

Msimkuze JPM kihivyo
Kwaiyo malalamiko ya ujambazi kurudi umeanza kuyasikia leo? Samia mwenyewe aliisha wahi lalamika juu ya ujambazi kurudi kwa kasi dar,mpaka alisema kuna Askari mmoja aliamishwa dar inabidi arudishwe,eti rais nae analalamika,mnataka majambazi wateke ikuru ndipo mtachukua hatua?
 
Umenikumbusha kauka camp, wazikuzi, manyirizu, wazabe..
2009 na tisa makundi mengi yalikuwa yamekufa..
Hii ilikuwa ni fassion kwa vijana ili uonekane hardcore na haikusika na wizi.
Haya yalikuwa sio makundi ya uporaji bali ilikuwa ni vikundi vya vijana wa
mtaa kama brother hood flani hivi na walikuwa wanatokea kwenye familia za mtaani hapo hapo
ili uwe hardcore ilikuwa lazima uwe na kundi,
asilimia kubwa walikuwa wanafunzi miaka hiyo shule ya msingi mtu anandevu na shule za kata zinachipuka sana
japo ilicombine wote hata wakishua wanaosoma private schools, miaka hiyo mtoto wa kiume kumpeleka shule
ya private ni mpaka utumie nguvu..
Karibia kila kijana wa mtaa alikuwa na kundi lake ndani ya mtaa kama si wewe basi kaka yako.
Vijana wa mtaa flani walikuwa hawezi kutoka mtaa flani kuja kuteka mtaa flani.
Ilikuwa kijana ukipita mtaa sio wako na hufahamiki na kundi hilo lazima uwe mpole na heshima.
Ila walikuwa wanaweza kutoka na kwenda kupigana na kundi flani tena kwa sababu wala hawakuhusika na wizi
japo ilikuwa kawaida mtu kuchomwa kisu ndani ya hayo makundi.
Miaka hiyo mwanafunzi wa shule flani akipigwa na mwanafunzi wa shule flani shule nzima inaenda kupigana...
Miaka hiyo mwanza mtoto akikushinda tabia unampeleka saqafa au taqwa, shule ambazo asubuhi fimbo zina
pelekwa na gari.
Nadhani hivi vitu vilichochewa sana na uhasama wa wana hiphop huko marekani kuwepo kwa makundi kama wutaang clan...
 
L
Waomba radhii mkuu kwa kuwakosea adabu wanaume wa Dar.
 
Bastola gani la laki 7 mkuu? Au unazungumzia Gobore?
 
Walikuwa wanadundana wakikutana CCM Kirumba, kahama walikuwepo watoto wa mbwa
 
Walikuwa wanadundana wakikutana CCM Kirumba, kahama walikuwepo watoto wa mbwa
Na kwenye madisco siku za sherehe..
Kulikuwa kuna watu wameshindikana.
Sababu ya lake kuzuia mwanafunzi kwenda na gari wanafunzi walikuwa
wanashindana kwenda na gari na walimu.
Mwanafunzi mmoja akaenda na tipa madaftaria(counter) ameweka unapowekwa mchanga
yeye anaendesha amefika shuleni akabinua tipa kushusha madaftari akamaliza akaokota madaftari yake akaingia
class.
 
Noma sana watu wamepinda sana. Lazima walimu wamaindi
 
Dar kunyanyaswa na vitoto ni halali yao kabisa, watu wamelegea kama mlenda ,unakuta mtu yuko na gari ,kwenye hiyo gari hana hata panga achilia mbali shoka na rungu,
sisi huku kwetu kutembea na silaha kama shoka,rungu ,panga ,mkuki kwenye magari ni kawaida tu, ili wale wanaojifanya wanajua kuvizia wanapata dozi yao safi
 
Mmmm yametokea hayo mpaka kubaka?
 
Ungesema tu wanaume wa chanika!
 
Huko mikoani kila siku mnauana vifo vingine vya aibu,ati baba nae anakuja kulala ulipo lala wewe na mke wako halafu kakumbatia
Haa haa haa naye anaenda kufanya majaribio kama bado yupo kwenye chart, halafu analaumiwa kijana kwa kuua Baba , eti mbona alilala tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…