[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anaondoka kijijini kwao akiwa mwanaume akishafika dar
Spiritually anavaa gauni
Unakuta tu Kuna vitu vinapwaya
Waambie waje Arusha hao panyas waone moto
Hunter yupi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afu eti kiongozi wao anajiita Hunter....mfyuuu[emoji57]
Kuanzia 14 - 20Alafu ni watoto wa miaka 8-12 ndy wanawajambisha watu wazima eti!!
Waje huku Rorya wafanye Kama wanajaribu Tu km hawakujikuta wameaamkia Kwa MUNGU Baba
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Duuuuuuh had nimeogopa.Kwanza bei ya bastola sio kubwa sana maana mpaka ukiwa na laki saba au nane unapata.
Tatizo ni msahariti ya namna ya kuipata. Maana unaanzia ngazi ya mtaaa mpaka mkoa na mamlaka husika ili kuipata kuimiliki kihalali. Hii inakiwa kikwazo kwa wananchi kujilinda maana vibaka wanadhalilisha watu na kuibia mali..
Fukiria mtu anabakwa mbele ya mke wake au mke wake na watoto wanabakwa na kuibiwa mali na vijana wa miaka 12 mpaka 18 kisa tu ni wavuta bangi na walioshindikana ki malezi.
Wanaume wa Dar wasaidiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuwaonee huruma tu wanaume wa Dar na marais wao Steve Nyerere na Ben Kinyaiya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha haaa nilishangaa Sana hiki kivumishi Cha GU Mara ya kwanza nimeenda Njombe, Nasikia mtu anasema"ana Gunyumba Gukubwa ugo"I was like whaaat[emoji23]
Mlongo usinisahau tuhame wote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana nimewasilisha form zangu za kuomba uhamisho niende zangu Rorya,Hawa wanaume wa Dar hawako serious.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bwiru au Nsumba?Bwana acha mbwembwe haya makundi hata mkoani yapo, mwanza lilikuwepo linaitwa nyamirizo kahama lilikuwepo wanajiita sijui jeshi la nini.
Tena huko kote wanaishi wasukuma wakakamavu. Na wote hao walikuwa watoto wadogo tu wanatembea na visu, wembe, mapanga.
Mwaka 2009 nikiwa A level pale mwanza, kuna dogo shuleni kwetu sijui alikuwa kamchukua demu wa mojawao. Siku ya disco pale shule si wakatimba eti kunsaka huyo dogo.
Aisee, kipigo walichopewa na wanafunzi hawatokaa wasahau maisha yao yote.
Yani eti watu 18 wanataka kuteka shule ya boys watupu kuanzia form 1 mpaka 6.
Washukuru hakuna aliyeuawa waalim waliwaokoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa huko Rorya panyaroad watakuwepo ili waibe nini? magunia ya unga wa dona au baiskeli za swala?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona kundi la watoto wengi jioni linakuja mbele yako Katu usipite katikati yao kama huna silaha
Nyie ndo mnao papaswa kalio mme tulia tuRorya sehemu kubwa ya watu wanaendesha maisha yao kwa kutumia nguvu
Dsm sehemu kubwa ya watu wanaendesha maisha yao kwa kutumia akili
kuliko kwenda kupambana na panya road na kuhatarisha maisha yako Bora umuache abebe hizo TV sijui simu kwa kuwa hajaiba wala kujeruhi akili yako una uhakika wa kuvipata tena
hivi upambane kuokoa simu ya laki 6 kwa gharama ya bisibisi ya kwenye jicho?
Huko rorya mna haki ya kupambana kwa sababu mapambano hata ya kupata ugali wa siku asilimia 96% ni manguvu na 4% ni akili …sie huku ni kinyume chake
(mtaniwia radhi watani zangu wa kijita na kijaluo)
wenzenu hulu hata mambo ya ugomvi ugomvi wa kupigana yalishaisha…mtu akikuzingua hata kama una mmudu unamtaftia elf 50 unapeleka Polisi post unawapa hilo jukumu hii ikimaanisha hata kumpiga adui yako unaagiza na kuamuru Chombo cha dola
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mic u sis,Si ndio hapo sasa mkuu! Kule Ngarenaro na Ngalimi karibu kila mtaa kuna vibaka wanatembea na mabeto ila wanashindwa kuwadhibiti, ndiyo kwanza wanaambiana ukitaka wasikukabe ishi nao vizuri kuwa rafiki yao, na uwe unawapa hizi mia mbili mia mbili na jero jero za fegi ili uishi kwa amani!
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3] ila watu khaaaaahArusha kumejaa mashoga nashangaa huo ugumu mnautoa wapi au ndiyo mashoga wababe
Bora nimehamia Mara[emoji41]Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa.
Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa!
Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani.
Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii!
Wanaume wa Dar es salaam jifunzeni ukakamavu maana ni jukumu la kila Baba kuilinda familia yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine ingekuwa ni masaki na mitaa Kama hiyo yani uswahilini wanatekwa je ushuani!!!, Wanaume wa Dar wachinjwe wote tupeleke mbegu mpya huko[emoji16]
Pambwani hapa tichenjelai😂😂😂😂 tukimbie mlongoMlongo usinisahau tuhame wote.
Hatari😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nsumba 🤣🤣🤣🤣umejuaje ? Tukiwa na wake zetu wa Nganza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bwiru au Nsumba?
Pambwani pawanzi mambu ga kukokana pa chilolo, titilahi mlongo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pambwani hapa tichenjelai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukimbie mlongo
Hatari[emoji23]