Wanaume walio oa Kwa sababu hizi ndio wamepatia kuoa

Nakazia
 
Msambwanda
Sura
Shape
Wasomi
Sex
Make-Up
Mavazi
Sauti
Ndumba.
Kama Umekosekana hapo,Usiache kufanya Ibada nadhani ndio Mlinzi wako.
 
Umesema 1𝐖𝐚𝐟𝐚𝐥𝐦𝐞 1:4.
𝐇𝐢𝐜𝐡𝐨 𝐧𝐝𝐢𝐜𝐡𝐨 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐜𝐡𝐨 𝐤𝐢𝐤𝐚𝐥𝐢𝐥𝐢 𝐭𝐮
 
Kuna mjeda mmoja alioaga kwanza Dada mrembooo mnooo!!akaja akamtenda vzr sana lile pigo takatifu,wakatengana akaja oa baada ya muda mda yule sura personal ukiwaona njiani mkaka huwezi dhani yule ni mkewe!ila aliapaga hatakaa aoe mwanamke mrembo sana Bali ataoa mwanamke wa kumzalia na kumlelea watoto tu!!
 
This is what I am talking about
 
Katika kipande cha video cha mahojiano ya Ndg Augustino Mrema na waandishi wa habari mara tu baada ya kufunga Ndoa! Amesema "nimepata mwenza kwa ajili ya kunisaidia mimi sasa ni mzee na nina kisukari nahijitaji kuchomwa sindano asubuhi kila siku huyu mama tutashirikiana nae"

Hapo sasa utagundua Mrema hajaoa sababu ya upendo ameoa ili apate huduma.

Kwa upande wa mke kwa nyakati tofauti yeye na mumewe Mrema. Amehojiwa akaishia kujingata ngata tu na kuruka ruka lakini kwa maelezo yake amefuata heshima ya mrema aliyoijengs mda mrefu kutafta Title mjini na kuendesha miradi ya Dr Mrema

Hakuna muungani usio na sababu hata mtu anaoa ili ajenge heshima kwenye Jamii na watoto ambao ni maajaliwa yake Mungu.
 
Shikilia hapahapa Bro. Wasikutoe kwenye Reli.
 
Mi nimekuelewa mkuu..............ila huwezi kuishi na mtu ambaye huna hisia naye kabisa
Sio kweli. Mimi niliozwa kwa kile tunachoita family integrity keeping miaka hiyo na sikupata kuchagua na ilibidi niishi nae na sikupewa choice Bali ilibidi nijifunze kumpenda kadili siku zinavyoenda. Nasema hadi Sasa ni mke wangu wa miaka 31 na hatujatetereka hadi Leo.

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Japo umeandika kiwepesi na mzaha ila kuna pahala umegusa uhalisia,, mimi kuna mwanaume aliniambia kabisa sababu kuu ya kutaka kuoa anahitaji mwanamke wa kumzalia watoto wazuri,, maana sura yake anaona iko 'personal', vigezo vingine vipo ila hasa alitaka watoto wazuri na alitaka mwanamke mwenye watoto/ mtoto ili aone mfano wa uzao wake utakavyokuwa,, kwahiyo bhana kuna wanaume wana maamuzi na hesabu zao kali,
 
Toa sababu moja kuu kwanini niamini mawazo yako?
 
Kuna ki njemba kimoja hakina mbele wala nyuma,Kilienda kuoa Kwa tajiri kikiwa na lengo la kuinuliwa kiuchumi na demu alikuwa alikuwa kashakielewa kijamaa licha hakikuwa na kitu.Baba mkwe alikijengea nyumba kali pamoja na mwanae na ki jamaa kikapewa mtaji saivi kina bang town na mtoto mkali wa tajiri na maduka ya jumla uchumi uki shine.[emoji2]

Sasa wewe oa kisa tako au kisa mguu wa bia au kisa umekufa umeoza kwake hujiwezi uone show yake[emoji4]
 
Shikilia hapahapa Bro. Wasikutoe kwenye Reli.
🤣🤣🤣

🤣🤣🤣🤣🤣
 
He is the true son of his father. Ehee ikawaje mkuu?
 
This is what I am talking about. Watu watafute kisa cha Rais mmoja wa Afrika ambae binti yake mrembo akiwa anasoma Marekani alikutana na jamaa msenegali aliekuwa akisoma na kucheza kikapu nchini humo. Baba MTU alimtuma mama wa binti huyo kwenda Marekani kumwambia binti yake aachane na mwanaume huyo haraka Sana.

Then ikawa arranged na Dogo ambae ni family friend wa familia ya Rais huyo. Huyo Dogo ndio akapewa mke..
 
He is the true son of his father. Ehee ikawaje mkuu?
Kaoa mdada aliyemkuta akiwa na watoto watatu, ishu ya msingi apate watoto wazuri kimuonekano, hata wawili tu, ila hii inafanya kazi ukiwa na uwezo mzuri kiuchumi kinyume na hapo ni ngumu
 
Kaoa mdada aliyemkuta akiwa na watoto watatu, ishu ya msingi apate watoto wazuri kimuonekano, hata wawili tu, ila hii inafanya kazi ukiwa na uwezo mzuri kiuchumi kinyume na hapo ni ngumu
Yes mwanaume unae taka kuoa lazima uwe Na uwezo WA kumudu gharama ZA kumtunza mke wako.

Ninyi Ni Malaika WA Mungu ambao mnatakiwa kuishi kwenye pepo.

Hata Mungu alimpa Kwanza Adam pepo( Eden) Kisha ndio AKAMPA Hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…