Wanaume walio oa Kwa sababu hizi ndio wamepatia kuoa

Umewaza nje ya boksi mkuu. Mojawapo ya mada fikirishi sana.

Unapooa unategemea kupata nini? Na huyo mwenzako anakuja kupata nini? Yanaonekana ni maswali rahisi lakini ukiyafikiria sana yanaeleza kila kitu.
Kweli mkuu,kabisa kabisa kabisa hata mm nimepata kitu hakika kutoka Kwa mada yajamaa

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Fact Ruwamangi
 
Jipige kifua mkuu😄😄😂😂
 
Huo ni utumbo tu! Unaoa mke kama unanunua appliance huo ni ujuha wa hali ya juu. A woman has to treat you good before decision to marry her.

Hakikisha ana genuine feelings kwako without any external boost kisha oa uone kama hata ukifulia ataleta ungese!

Huu ujinga wako danganya madomo zege wenzio ambao wanahisi mwanamke ni appliance ama gadget ambayo lazma uifeed umeme ama mafuta ndio ifanye kazi. Muendelee kutoa pesa mpaka mfe ili kulinda heshima na penzi 😅😅😅 huku siku ya kufulia ikiwa ndio hitimisho la ndoa.
 
Genuine feelings ili iweje mkuu? Mimi naangalia interests zangu mkuu hayo mambo ya feelings Ni very petty issues
 
Genuine feelings ili iweje mkuu? Mimi naangalia interests zangu mkuu hayo mambo ya feelings Ni very petty issues
Watakaofuata mawazo yako watapotea kabisa from the start
Ni afadhali ndoa iharibikie kule mbele kuliko uanze na mawazo kama yako. Hiyo sio ndoa bali ndoano. Na wanawake wa siku hizi ni werevu kuliko wanaume. akishjajua tu wewe unazo hizo interest uchwara atakuingiza choo cha kike. Yaani utaachwa kwenye mataa na usijue utaenda wapi baada ya hapo
 
Genuine feelings ili iweje mkuu? Mimi naangalia interests zangu mkuu hayo mambo ya feelings Ni very petty issues
Interest zako sio ishu kila mtu ana zake ila mke sio friji ni mtu binaadamu mwenye akili zake
 
Kuna jamaa kakaa jeshini wa kujitolea OP KIKWETE kasugua Sana mpaka mkataba unaisha anaomba kuongezewa lakini wapi! mwishowe aka surrender mwenyewe ikabidi arudi kitaa kupambana na life.Eeh bwana! Katika kupambana na life sijui ni ujasiri gani aliupata sijui ni dawa au ni nini[emoji848],alimvagaa mtoto wa Brigedia na mtoto akawa haelewi Kwa jamaa huyo mpaka jamaa akataka amuweke ndani kabisa licha ya kuwa ndo alikuwa kama ana anza maisha maana ndo alikuwa ametoka kambini demu haelewi Kwa jamaa, akakubali kuolewa nae hakujali hali aliyo mkuta nayo. Jamaa Kwa kuwa amekubaliwa fresh likawa limebaki swala la kutambulishana kwa wazazi,Brigedia akataka kuleta mgomo,demu ana mwambia Baba yake Bora afe lakini siyo kuacha kuolewa na jamaa.Baba yake akalegeza mambo mengine yakafata Kwa sababu jamaa hakuwa vizuri,akasapotiwa kidogo vijipesa vya kusogeza maisha yakaendelea.Brigedia alikuwa hajui Kama jamaa aliye muoa mwanae alitoka kambini kisa mkataba umeisha,Baada ya kujua.Brigedia alimfanyia mchongo chapu jamaa jeshini mpaka sasa ni Bakabaka anaenda kuchukua kozi ya ukoplo saivi[emoji13][emoji13].

Jamaa kuja kuuliza alipataje ujasiri wa kutongoza mtoto wa Brigedia,anakwambia ilikuwa alternative kufanikisha ndoto yake na siyo kwamba demu alikuwa akimkubali kiviiilee sema alijua akimchukua mtoto wake itakuwa rahisi kwake kuingizwa kwenye system.
 
Safi sana
 
Nimesha copy link ya Uzi nitaitolea hard copy soon
Yaani umemaliza kila kitu.
Sura inazeeka
Tako linaisha
Titi soon linalalo yoo
Sasa ukioa kwa physical appearance utaenda kuisaidia Ukraine kulia soon
🤣🤣🤣🤣
 
Ni kweli ulichosema, ila kuwe na mapenzi + vitu vingine, business partner, urafiki, wote wapenzi wa gym, financial and moral support nk. Mapenzi huchuja hivyo lazima na vitu vingine vinawaunganisha.
Hivi Unajua Kuna Mtu Anapitia Matatizo Ya Kimahusiano Na Mpenzi Wako...???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaonekana umekatia tamaa mapenzi kabisakabisa
 
Unachosahau ni kwamba, huyo mke unayeoa kisa tu unataka watoto, na hakusisimui kihivyo na hivyo hamuoneshi mahaba ya hali ya juu, kuna siku atakutana na jamaa wakapendana halafu huyo jamaa atamuonesha mapenzi yale we una yaona ujinga, hapo huyohuyo mke atakukimbia uzeeke peke yako

Ndio utajua hujui [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…