Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

I support you Brother usioe, ndoa ni upuuzi mtupu.
 
Hahahaha hio akili ndio inawacost, mke anataka akipata kazi ndio aolewe ili ukiwa unamtuma naye anamtuma mfanyakazi wa ndani. Mletee baba maji ya kunywa. Akibakia mwenyewe ndo yanaanza mashindano.
Kabisaa! 😅
Ila kuna wanawake wengine wakiolewa huwa wanaacha hadi kazi. Hawa wanawake sijui wanapatikana bara gani.. 😁.

Hawa wa sahivi ni mipishano! 🙌
 

Kweli but sio watoto wote watakujali ukizeeka,labda watoto wakike kidgo wanahuruma,,,,kuna mzee kagoma kabisa kurudi kijijin kwa jamaa zake,,,kuhofia watoto watauza nyumba zake,wanamuibia,aliwasomesha wakazingua sasa kila kitu mzee na hawamjali,hosp anaenda mwenyew
 
Ukishakuwa affected kisaikolojia unapoteza ile nafsi yako unakuwa mfu ungali hai. Psychological torture usiombe ikukute.
Hapo kwenye kuwa affected kisaikolojia ndo tunapojiendekeza. Ukiona mahusiano yamekuwa magumu sana kuwa mwepesi kujiweka nayo mbali.
 
Ndoa haina maana ebu waangalie hawa wazee wa michipuko sasa sijui wameoa Nini Ndoa uchwara hizo kwa sisi tunaojitambua hazina maana wake za watu huku mtaani ni zaidi ya Malaya ,
 

Kwanini sasa waliwe?
Unataka tuoe visichana VINAVYOLIWA?

#YNW
 
Mama yako ni mhaya biLa shaka 😀
Ndio Mkuu , lakini now my dad has 70 yrs is looking young and heathier than ever nilichogundua ndoa ni chanzo Cha uhakika Cha kukua Mapema

Now naishi naye Mimi mwenyewe my daddy
 

Hivi tuwe wakweli...

Anzia hapo mtaani kwako na kwa ndugu zako...

NI WANGAPI WANATESEKA NA NDOA?

#YNWA
 
Utaskia eti, yaani mi
Nioe af nije nigawane mali na mwanamke never. Ukimuuliza una mali gani, subwoofer na kitana. Mbafffffff🤣

Binafsi ni Shamba la parachichi Eka 35 + nyumba Dar + ka-IST kangu + Guta linalokodishwa + biashara ya mtaji wa 20 Mil + other things Mungu alivyonibariki

Kwahiyo nione kiumbe wa mtu ambaye hajui hata mia ya kupata hivi imetoka wapi then aje "TUGAWANE MALI, SI TUNAACHANA"

#YNWA
 
Nalumbana sana humu na hilo kundi, hawataki kuoa wanataka kuolewa simpo laiki that,
 
Anayetaka kuoa/kuolewa apambane. Asietaka kuoa/kuolewa freshi...kila.mmoja abaki na msimamo wake. Acheni ndoa zijitetee zenyewe na usingle/ubachelor ujitee wenyewe. Kizuri kijiuze..kibaya kijitembeze...case closed. Next topic 🤸
 
Mslazimishe kutuaminisha Kila ndoa ni mbaya nawakati sio hivo mnataka kilamtu aamini mnavosmini nyingi hakuna kitu ambacho hakina misukosuko
 
Bwanaeeee usioeee

Kuna mwanamke ana zaidi ya hivyo na hawazi unachowaza wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…