Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I support you Brother usioe, ndoa ni upuuzi mtupu.Hyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Kabisaa! 😅Hahahaha hio akili ndio inawacost, mke anataka akipata kazi ndio aolewe ili ukiwa unamtuma naye anamtuma mfanyakazi wa ndani. Mletee baba maji ya kunywa. Akibakia mwenyewe ndo yanaanza mashindano.
Kweli kabisa mkuu familia ni kitu Cha mhimu Sana katika maisha ya binadam,mfano mm familia ilisafiri likizo hii ya krismas yaani maisha yalikua magumu sn linyumba unaona halina maana hata kurudi nyumban unaona uvivu,ukizeeka pia familia yako ndio ya kupambana mpaka mwisho ndugu wanaweza wasionekane ila hauwezi ukamtelekeza mzazi labda unatafuta laana.
Hapo kwenye kuwa affected kisaikolojia ndo tunapojiendekeza. Ukiona mahusiano yamekuwa magumu sana kuwa mwepesi kujiweka nayo mbali.Ukishakuwa affected kisaikolojia unapoteza ile nafsi yako unakuwa mfu ungali hai. Psychological torture usiombe ikukute.
Wanaume wa Jf watakuja kukupopoa sasa hivi. Wanajazanaga ujinga hivi hivi😂😂😂 na wengi wanaoanzisha mada za msioe ni wale waliooa na wana familia zao zinaenda vizuri tu. Na mapoyoyo wanaoitikia ni wale ambao vischana vyao vinaliwa na hao waume za watu😂😂akili kumkichwaaa
Ndio Mkuu , lakini now my dad has 70 yrs is looking young and heathier than ever nilichogundua ndoa ni chanzo Cha uhakika Cha kukua MapemaMama yako ni mhaya biLa shaka 😀
Mwanaume anayeogopa kuoa ni mwanaume wa kuogopwa.....yaani ni mwanaume anayeogopa kuwa mwanaume
Kwahiyo ndio mnakujaga kuanzisha uzi wa kutukana wanawake kwa experience mlizoona kwa mama zenu?
Basi ndio nimeelewa sasa , nikiona mtu ameanzisha mada ya kutukana mwanamke au kukashfu ntaelewa kayaona kwa mama ake basi anadhani wanawake wote wako hivyo.
Na sisi tuwe tunawa grade wanaume wote sawa. Kwamba baba anabaka mtoto wake wa kumzaa basi wanaume wote ndio wako hivyo. Wababa wangapi wametelekeza wake na watoto kwa ujinga wao. Kwahiyo tuwa group kwamba ni wanaume wote duniani wako hivyo.
Pole kwa yaliyokukuta ila mama yako sio kama wanawake wote.
Utaskia eti, yaani mi
Nioe af nije nigawane mali na mwanamke never. Ukimuuliza una mali gani, subwoofer na kitana. Mbafffffff🤣
Mslazimishe kutuaminisha Kila ndoa ni mbaya nawakati sio hivo mnataka kilamtu aamini mnavosmini nyingi hakuna kitu ambacho hakina misukosukoKwahiyo ukijiwazia mazuri mabaya hayawezi kukufuata?
Unadhani ambao wamekutana na mabaya walikuwa wanajiwazia mabaya au sio.
Tuko hapa kuambiana uhalisia. Kama unachagua kuolewa/kuoa kuwa tayari Kwa consequences zake na kinyume chake. Kama uko tayari kuvumilia consequences za kutokuoa au kuoa ni Uhuru wako .
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Bwanaeeee usioeeeBinafsi ni Shamba la parachichi Eka 35 + nyumba Dar + ka-IST kangu + Guta linalokodishwa + biashara ya mtaji wa 20 Mil + other things Mungu alivyonibariki
Kwahiyo nione kiumbe wa mtu ambaye hajui hata mia ya kupata hivi imetoka wapi then aje "TUGAWANE MALI, SI TUNAACHANA"
#YNWA
Hayo ni matatizo yao.Hawakuambiwa wakiona ndiyo wapigane.Una mshauri vipi mke anaye pigwa na mumewe nusu kufa ?
Anaogopa kugawana mali?😂😂😂😂Bwanaeeee usioeee
Kuna mwanamke ana zaidi ya hivyo na hawazi unachowaza wewe.
Kwa hiyo waendelee kuvumiliana wasikimbiane mpaka pale watakapo uana.Hayo ni matatizo yao.Hawakuambiwa wakiona ndiyo wapigane.