Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Hyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaumiza sana ila pole tafuta wako mwema mnae elewana, tabia za bi mkubwa wako sio za wanawake wote.
 
Hao wasio na nguvu ndo wanashabikia kataa ndoa ili waonekane hawataki kuoa kwasababu ya matatizo ya kwenye ndoa kumbe kuna wanachokificha.
Hakuna mwanaume asiye na nguvu bhana madam ,nguvu hata za kujibust ukojo**ht kimoko hazikosekan ,wanatumia hata puturu,mkongo na nyingine nyingi ,ndio maana hzo dawa zikawepo kwajilii ya hao kusaidiaa ...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama ya UTAJIRI wa single ni kubwa Sana kuliko alieoa!

Utafutaji unamafanya mwanamme asiwe na Muda wa kujipikia hivyo hula hotelini na na kuongeza gharama ya Maisha ya KILA SIKU!

Pia kuhonga KWA ajili ya penzi na out ni kubwa Sana na inamkosti single man!!

Nilisoma hiyo zamani Sana!

Mwendo ukawa wa kinyonga
Ukishakuwa single mnadhani kazi yetu wengine ni kuhonga tu 😄
Hayo mambo kwa mwezi ni mara moja au mbili ina maana ukishaoa hamna kula bata
 
Hakuna mwanamke mwemaa kwangu ..wt n wale walee tu mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu I have been experiencing , situation Kama yako in my family my mother chase away my father while my dady did a lot of stuff kutusomesha kujenga majumba ya Gharama nk lakin vitu vyote my momy amejimilikisha peke yake , that way I hate marrige , and marrige is scam
 
Back
Top Bottom