Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Ni

Ni kama vile kuna watu wana account nyingi ili kupiga debe lao la kukataa ndoa au wengine mnajifanyisha tu humu online ila mnafamilia au mpango huo, haiingii akilini kuwa idadi kubwa na watu humu waikandie ndoa kiasi hiki. Na kama ni kweli idadi ya wahuni ni wengi
Ndo hivyo
 
Na siku wanaume walioa wakiamua kuanika vitimbi vya wake zao ili liwe somo zuri kwa vijana wanaotarajia kuoa/ kutokuoa. Basi amini ndoa hazitakuwepo na zikiwepo basi ni kwa% chache tu....! Swala la wanaume kupotezea vitu / kulilia kifuani kama inavyosemwa inasaidia kuficha mengi...! Anayetamani kuoa na aoe na asiyetamani kuoa na asioe....! Maisha ni kuchagua
 
Kwanini wanaume tulazimishwe kuoa?

Kitu kizuri hakilazimishwi?. Kinajiuza tu chenyewe.
Asili ya nafsi ni yenye kupenda maovu na starehe, ndio mana wazee wa zaman hata kabla ya dini walikua strict sana na suala la zinaa.
Mnachofanya mnaokataa ndoa ni kuipamba zanaa ambayo ina athali nyingi sana kwa jamii
 
Kati ya taasisi ambazo shetani kaziweza ni ndoa
 
Kuna wengine wamejificha kuto oa sababu ni Mahanithi, Wengine hawasimamishi, Wengine hana mboo, hivyo kuliko umia kiakili anaona asioe tu.
 
Being single is better than being in a bad relationship.

Being in a good relationship is better than being single.

What is good/bad is subjective depending on one's "make up" i.e


their background (eg. They weren't loved as children, they've had traumatic experiences with the opposite sex etc),

their knowledge (about relationships, human behavior, their bodies, their minds etc),

their genetics (eg. Kuna asexuals etc),


their faith (eg. Promiscuity is wrong etc)

their mindsets (eg. "All men cheat" etc)

etc etc...

For some mental cases nothing will ever be good enough,

they're doomed for a lifetime of demonizing committed relationships and the opposite sex!
 
Na siku wanaume walioa wakiamua kuanika vitimbi vya wake zao ili liwe somo zuri kwa vijana wanaotarajia kuoa/ kutokuoa. Basi amini ndoa hazitakuwepo na zikiwepo basi ni kwa% chache tu....! Swala la wanaume kupotezea vitu / kulilia kifuani kama inavyosemwa inasaidia kuficha mengi...! Anayetamani kuoa na aoe na asiyetamani kuoa na asioe....! Maisha ni kuchagua
Hii kuficha ya kifuani ndio inasababisha wanaume wengi wanakufa mapema na kuacha wake zao wakiishi na wanaume wengine.

Zaaa watoto lea watoto wako

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
I support singles in a spiritual journey

Anaamka anaenda kuhubiri siku mzima,

Anaamka ana meditate siku nzima,

Anaamka anaenda kuswali/kusali na kusalisha/swalisha siku nzima...

Au ambaye ameamua kuwa single kwa muda ili atimize mipango yake usually ya kiuchumi, akiwa single msafi

Lakini hizi singles za kushinda kuangalia twerking videos,

chronic fappers,
premium porn subscribers,

mmekuwa regulars kwa madada poa hadi mnapewa punguzo,
na wanaodanganya na kuchezea hisia za wasichana ili tu wapate papuchi,

You are just a bunch of losers!

No one's here to change your losing ways. You do what you gotta do you were meant for the crap you do.

MSIOE!!!
 
Back
Top Bottom