Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

Sio kuuza
Sema huna hela
Hutoi hela hupewi utamu
Wanaombwa hela hovyo wanaodate na wanawake masikini au wanaotegemea hela za wanaume kuishi. Nadate na mwanamke kwao mambo safi ana kazi yake fresh. Muda wote tunaongea mipango kuhusu future yetu. Katika kipindi chote cha mahusiano ameshawahi kuniomba pesa mara moja tu na kila nikitaka utamu nawepa na mara nyingine naletewa kwa suprise...
 
Hivi UTI Sugu huwa mnabeba kwenye mikoba na begi zenu, na huwa ni special kwajili ya wawekezaji tu au?🐒
 
Kamdangie baba ako, akupe hela *****. Skuiz hamna vya Bure hata utoe mku...n hamna vya Bure pambana na Hali yako
 
Hivi vijana kwanini mnataka vya Bure, Hamuoi!?.
Mnakwepa gharama za kutunza mke kwahy lazima mpinge mada vikali.

Wanawake wangejielewa wakajizuia na uzinzi vijana wengi wangeoa, maana wangepata wapi Utulivu wa mwili!?.

Wanawake tuache kujirahisisha ndomna ndoa zimekuwa ngumu. Vijana wanakwambia.

"Kama maziwa napata ninunue ng'ombe wa nini"!??.

Kama hakuna uuzwaji wa maziwa koholela ng'ombe zitanunuliwa tu, bila hvyo watapata wapi maziwa!?.
 
Hapana ila najua inahusu mambo ya kujiweka kike kike, ndo nimeshangaa anatafsiri feminism tofauti
Feminism ni harakati, falsafa, au imani inayopigania usawa wa kijinsia kati ya wanawake na wanaume katika nyanja zote za maisha kijamii, kiuchumi, kisiasa, na kitamaduni. Inalenga kuondoa ukandamizaji, ubaguzi, na dhuluma zinazowakumba wanawake kwa misingi ya jinsia zao.
 
Eehh kumbe , basi nilikuwa Bado nipo gizani
 
Mipango yenu kuipindua dunia. Haijatosha Adamu kuangushwa na Hawa, bado mna mipango kebe kebe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…