Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

Tatizo ni ukahaba wa wanawake
 
Wanawake huu ukosefu wa ajira umewafanya mgeuze mahusiano ni biashara
 
Ina maana TZ hii wanawake wote ni makahaba!??
Almost wote waliopo kwenye dating pool ni makahaba wametofautiana strategies na terms tu.

Wengine wataita kuhudumiwa, wengine matunzo lakini kwa ujumla mwanamke anafanya mapenzi kuwa transacfional exchange wakati yeye hana output yoyote in return iyo ni biashara ya ukahaba.
 
Wanaume inabidintuwe nankikao...hawa wanawake naoa sasa wanaanza kuchezea mbupuz zetu
 
Oohh waliopo kwenye dating , Lakini kwanini hamuoi ikiwa wanawake wazuri ambao sio makahaba wapo!??
 
Wanawake walio wengi TZ ni omba omba maana yake huo ni ukahaba katika neno la kuhudumiwa
Hapo shida wanawake wameamua kujigawa Bure ndomna wanaitwa Kila majina, wangeamua kukomaa hakuna kuzini mpka ndoa heshima ingekuwepo.
 
Hapo shida wanawake wameamua kujigawa Bure ndomna wanaitwa Kila majina, wangeamua kukomaa hakuna kuzini mpka ndoa heshima ingekuwepo.
Wanawake huwa mnafikiri sex ni favor mnamfanyia mwanaume. Fikra hizi ndizo huzalisha maana ya ukahaba
 
Ndio maana ninatafuta pesa mno kwa sababu ya binti yangu tu🤔 asije kuwa ngoma ya kijiji kwa so called mapedeshee.
Daah! Mkuu umeongea vema sana. Yaan mm pia napambna sana ili binti yangu asije kuwa kituo cha wanaume kupandia daladala kwa sababu ya umaskini wake. Heshima yako mkuu.
 
Sawa Nothing is free, ila iwe win win deals. Maana nimegundua ni hicho kiungo kimekuwa weaponised tool ku control wanaume
Wadogo zangu, ukiombwa hela usikatae, il mwambie aifuate. Kama ni kazi hela aifuate kazini
(Wote mkishakutana mataleli, ishu ni timing), kaa kitaalamu
 
Mchuano ni mkali kati ya UWABATA na beggars section.
Niendelee kuangalia hii mbungi, nani anaibuka mshindi
 
Mapenzi ni ushetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…