Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Lkn suala la kuwa chombo cha starehe kwa baba yako usilipinge..

Lkn mkuu,mama yako angekuwa mwenye maadili hivi ange kufundisha kumuita baba yako MZEE badala ya kumuita BABA?
 
Nyie ndiyo mnawaendekeza acha wawanyooshee
Endelea kumpa pesa
 
Mbona mmenikalia kooni wamachame [emoji23]
Kwenye koo lako kuna kitu?
Tatizo wewe ni mjinga
Unaleta stor za vijiweni vya kahawa

Tumia akili kufikir acha kuchafua watu

Kijana unakua kama musiba alivyo kuwa anamchafua membe

Saiv anajuta
 
Majina ya watoto haohao wanaopandikizwa sumu na mama zao kumsema baba yao
 
Miaka 500 wakat uo wewe ukowap
 
Lkn suala la kuwa chombo cha starehe kwa baba yako usilipinge..

Lkn mkuu,mama yako angekuwa mwenye maadili hivi ange kufundisha kumuita baba yako MZEE badala ya kumuita BABA?
Ujasikia kuna mahar nimepinga kuwa mother akuwa chombo cha starehe😀

Kuhus maadili ya mama angu ni mfano nilio kupa kutoka kwa matamshi ya mzee wangu kama kutuhasa namna ya kuishi.

Kumuita baba yangu MZEE ni heshima tu ambay ina mpasa nikama nmempa lank ya juu refer kwenye biblia watu wenye hekima waliitwa WAZEE e.g wazee wenye hekima, mfalme aliita wazee 9 wamshauri, wazee wa baraza ko nmelitumia kama heshima ya juu.

Pia aya ni maisha yangu kwa maneno na matamshi yangu ko soma elewa usisome kuchambua sana juu yangu😃
 
Imefika mahali mwanaume akiwa na hela hamwamini mwanamke yoyote, kila saa anajishtukia kwamba huyu mdada amefuata pesa kwangu na sio upendo, hata sie wanaume makapuku tunaogopa kutongoza.. maana twajua kinachofuata ni makombora..
Inasikitisha sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…