Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Sasa si bora wale ndugu zangu na watatunza watoto wangu pia,kuliko ziliwe na mchepuko wa mke angu,ambaye kwa wakati huo atakua mume wake.
 
Ronaldo mjanaja sana,hataki funga ndoa na Georgina kuepuka usenge kama huu
Mademu wanang'ang'ania Ndoa ili wawe na kidhibiti na kithibitisho cha uhalali wa kumiliki mali. Hii ni tabia chafu sana kuigiza mapenzi ili ujipatie mali mimi nachukia sana wanawake wanaoingia katika mahusiano kwa malengo ya kujitafutia kipato.
 
Yani ndugu zako ni Bora kuliko mke??

Kwangu Mimi mke ni first before all others.



Sent using Jamii Forums mobile app
Just imagine akili kama zako,angekua nazo Hakimi,ingekuaje leo?
Eboue ni living example,unadhani Hakimi hana taarifa za alichofanyiwa?
Usiwaze kama Mengi,waza Kama Mond.
Na utambue,wanawake wengi kipaumbele chao siyo mume,ndiyomaana wakiolewa na wakapata mafanikio,waume zao wakifa,wengi wao hawaolewi,ila wanashukuru ili wawe huru,kuzitumia na wanaume wawatakao,kuliko kuwa limited kwa mwanaume mmoja,chukuli mfano;Jenister Mhagama,Vicky Kamata,aliyekua mke wa David Kafulila,Jackline Mengi n.k. jiulize,wameolewa au wanaishi wenyéwe kwa uhuru,na hawataki kubanwabanwa?
Makinika.
 
Mapenzi ayapo kwa saiz tunaish kwa timing na ndio maana kama huna pesa mahusiano utayaskia kwenye bomba saiz ukimtongoza mwanamke kabla ajakupa mbususu ana hakikisha ameshakukamua vya kutosha
Tunanunua mashuga mami kwa bei ya tshs 5,000. Hakuna haja ya kutongoza videmu visivyo na akili kila saa fujo tuuu. Utafikiri wanataka kutaga
 
Mimi binafsi mali zangu au vitu vyangu nikitaka kununua mama lazima ajue na nimemwandika yeye kwenye vitu vyangu vingi sana nimejifunza kwa mjomba wangu

Mwanamke anaweza kukua ili abaki na mali hasa wamachame
Wanawake wa kimachame hatari sana. Sio wa kuoa kabisa
 
Wewe,ACHA UTANI WA KUMTANIA MME WA MAMA YAKO. MZEE ni mtu YEYOTE mwenye umri sawa na baba yako au zaidi ya baba yako akiwa ni wa kiume. Wa kike huitwa KIKONGWE.

Sasa kusema MZEE WAKO,anaweza akawa ni mwanaume MZEE lkn siyo BABA YAKO.
Ila unamuita MZEE WAKO,pengine kwakuwa wewe ndo unayemtunza. Na,wakati flani mwanamke anaweza kumuita mme wake namna hiyo.

BIBI MKUBWA,hapa ni utambulisho wa mtu mme mwenye wanawake ZAIDI ya mmoja.
Huyu anayetajwa kuwa BIBI (BI MKUBWA) ndiye mtangulizi wa wote kuolewa pale na wa mwisho yeye huitwa BI MDOGO.

Ila siku hizi eti watoto mnawaita mama zenu BI MKUBWA (MKE MKUBWA)na baba zenu MZEE WAKO (MME WAKO).Muwe mnasoma japo hata vitabu vya hadithi mpate maarifa maana mmesoma mkapata makaratasi ila hamna maarifa.

Kwani ukisema BABA YANGU utakuwa huja mheshinu?

 
Kweli kabisa kuna mtu anapenda kukaa singo maza? Na kama yupo ni anadanganya, deep down anataka sana mtu sema hajabahatika.

mawazo ya kuvunja ndoa ili mgawane mali nadhani Tz sio sana kama huko Ulaya.
Wapo wengi tu. Mabinti wengi katika umri wa miaka kuanzia 16 hadi 30 huwa wanakuwa wanajiamini sana kuwa hawatakuja kukosa mwanaume wa kuishi nao sababu wanakuwa bado wabichi na wanapigiwa sana miluzi kila wanapopita huko barabarani so wanajiona ni "forever Young".

Adui mkubwa wa mwanamke ni muda. Umri ukianza kwenda uzee ukianza kuwavaa ndio ghafla wanaanza kuwa wastaarabu na kujifanya wanataka kumilikiwa ila hapo tayari amechakichezea huko nje, maziwa yameshuka au kulegea kabisa, makalio na mapaja yamelegea, ngozi imeanza kunyauka imekosa unyororo na ule mng'ao wa kuvutia, uso umeanza kushuka na macho yameanza kuweka makunyanzi.

Hivi vyote vina maanisha soko lake limeanza kushuka na wanaume wa maana wataanza kumkwepa atabakia na wanaume wanaotaka ngono tu (wanaume za watu wanaotoka nje ya ndoa,wanaume wasioweza kumudu kumhudumia mke by 100%, au wazee wa hit n run).

Wanawake wanapenda kupata security ya mwanaume in the form of kupewa mahitaji yake muhimu,kuwa ndani ya himaya ya mwanaume, kupewa attention na muda, kupewa muongozo, na kusaidiwa malezi ya watoto. Hivi vitu huwezi ukavipata kwa mwanaume ambaye mtakutana umri umeenda hakujui vizuri humjui umekutana na mwanaume ana miaka 45 au zaidi wewe una miaka 30+ hapo mnakwenda kufanya kitu gani??

So tunaposema "wapo ambao wanapenda kuwa single mother" tunamaanisha wale ambao wanatumia ule umri wakiwa wabichi kuishi huru (having fun) na kufanya mambo ya kuwapotezea muda kufurahisha nafsi zao na wanakataa kukaa na kujenga maisha na wanaume wanaojipanga au ambao bado wapo chini kiuchumi. Ndio zile sampuli utasikia wanasema "nazaa mtoto nitalea mwenyewe" sababu anachofikiria ni kuwa wanaume wapo wengi sana wanaomtaka na hawatoisha (Foolish age).
 
Nadhani inabidi mahakama zetu ziingize hiyo hukumu kwenye hukumu zake hapa nchini
Sheria nyingi zinaficha sana makucha yake juu ya mwanamke na zinakuwa bubu katika kumuwajibisha au kumtendea stahiki zake.

Sheria ikisema mwanamke awajibike kwa jitihada zake utaona hawa viumbe namna wataanza kuwa na adabu. Wanasahau kuwa tupo Africa sio Ulaya hapa. Haya mataifa changa yana changamoto nyingi sana za kiuchumi na kijamii. Kuamini unaweza ishi mwenyewe ni kutumia akili za kitoto kutafakari mambo ya kiutu uzima.
 
Ulikuwa unamaanisha miaka 500 au 50?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…