Kumbe umeliona hilo...wenye hela zao wapo wanaungasha vifanyio tuu hii wikendHumu wengi wetu ni bendera fuata upepo. Tunapoteza muda kuwadiscuss watu na wametuzidi mbali sana [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe umeliona hilo...wenye hela zao wapo wanaungasha vifanyio tuu hii wikendHumu wengi wetu ni bendera fuata upepo. Tunapoteza muda kuwadiscuss watu na wametuzidi mbali sana [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefurahiii....muone unavyopenda story za minyanduano.🤣🤣🤣🤣
Kama hayupo utaweka kwa mfumo wa Prenaptual .Kama Mama mzazi Alisha tangulia mbele ya Haki inakuwaje?? Utamwamini Nani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maisha ya kutokuaminiana....na ubinafsi
Wengi wameoa Ila hawawaamini walio waoa.
Kwann Mali ziandikwe jina la Mama?? Akifa hizo Mali zikigawanywa Kwa wanafamilia wengine utalalamika??
Bora hata muandike majina ya watoto wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wako si ndio umeharibu sasa, mama mtu anachekelea tu namna atakavyokumaliza.Mama nae ni binadamu kama wengine lolote linaweza tokea. Bora hata uwaandike watoto wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mademu wanang'ang'ania Ndoa ili wawe na kidhibiti na kithibitisho cha uhalali wa kumiliki mali. Hii ni tabia chafu sana kuigiza mapenzi ili ujipatie mali mimi nachukia sana wanawake wanaoingia katika mahusiano kwa malengo ya kujitafutia kipato.Ronaldo mjanaja sana,hataki funga ndoa na Georgina kuepuka usenge kama huu
Urithi maana yake ni wewe ufe yeye abaki. Kitendo cha yeye kuniwazia hivyo tu it means hanipendi ya dhati amekuja kimasilahi.Roho mbaya saaana hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Imagine mke anakutunza aannakufulia anakupikiaaa then umnyime urithi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama wewe ndio una njaa usioe kabisa au inakuaje??Watoto wako si ndio umeharibu sasa, mama mtu anachekelea tu namna atakavyokumaliza.
Dawa ni usioe mwanamke kutoka familia zenye njaa na kukumbatia umasikini.
Mm nmecheka ulivyoongea kwa msisitizo 😃😃😃Umefurahiii....muone unavyopenda story za minyanduano.🤣🤣🤣🤣
Just imagine akili kama zako,angekua nazo Hakimi,ingekuaje leo?Yani ndugu zako ni Bora kuliko mke??
Kwangu Mimi mke ni first before all others.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunanunua mashuga mami kwa bei ya tshs 5,000. Hakuna haja ya kutongoza videmu visivyo na akili kila saa fujo tuuu. Utafikiri wanataka kutagaMapenzi ayapo kwa saiz tunaish kwa timing na ndio maana kama huna pesa mahusiano utayaskia kwenye bomba saiz ukimtongoza mwanamke kabla ajakupa mbususu ana hakikisha ameshakukamua vya kutosha
Wanawake wa kimachame hatari sana. Sio wa kuoa kabisaMimi binafsi mali zangu au vitu vyangu nikitaka kununua mama lazima ajue na nimemwandika yeye kwenye vitu vyangu vingi sana nimejifunza kwa mjomba wangu
Mwanamke anaweza kukua ili abaki na mali hasa wamachame
Ujasikia kuna mahar nimepinga kuwa mother akuwa chombo cha starehe😀
Kuhus maadili ya mama angu ni mfano nilio kupa kutoka kwa matamshi ya mzee wangu kama kutuhasa namna ya kuishi.
Kumuita baba yangu MZEE ni heshima tu ambay ina mpasa nikama nmempa lank ya juu refer kwenye biblia watu wenye hekima waliitwa WAZEE e.g wazee wenye hekima, mfalme aliita wazee 9 wamshauri, wazee wa baraza ko nmelitumia kama heshima ya juu.
Pia aya ni maisha yangu kwa maneno na matamshi yangu ko soma elewa usisome kuchambua sana juu yangu😃
Ukioa na ukapigwa na kitu kizito, utaongea upumbavu wako apaYani ndugu zako ni Bora kuliko mke??
Kwangu Mimi mke ni first before all others.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wengi tu. Mabinti wengi katika umri wa miaka kuanzia 16 hadi 30 huwa wanakuwa wanajiamini sana kuwa hawatakuja kukosa mwanaume wa kuishi nao sababu wanakuwa bado wabichi na wanapigiwa sana miluzi kila wanapopita huko barabarani so wanajiona ni "forever Young".Kweli kabisa kuna mtu anapenda kukaa singo maza? Na kama yupo ni anadanganya, deep down anataka sana mtu sema hajabahatika.
mawazo ya kuvunja ndoa ili mgawane mali nadhani Tz sio sana kama huko Ulaya.
Mimi siwezi kupigwa na kitu kizito. Nyinyi msio jiamini au hamuwaamini wapenzi wenu ndio mtapigwa na tukioUkioa na ukapigwa na kitu kizito, utaongea upumbavu wako apa
Sheria nyingi zinaficha sana makucha yake juu ya mwanamke na zinakuwa bubu katika kumuwajibisha au kumtendea stahiki zake.Nadhani inabidi mahakama zetu ziingize hiyo hukumu kwenye hukumu zake hapa nchini
Ulikuwa unamaanisha miaka 500 au 50?Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake??
Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna waliohudumia wanawake wakaishia kuachwa kwa dharau, kuna waliosomesha wachumba wakapigwa. Etc
Imefika mahali mwanaume akiwa na hela hamwamini mwanamke yoyote, kila saa anajishtukia kwamba huyu mdada amefuata pesa kwangu na sio upendo, hata sie wanaume makapuku tunaogopa kutongoza.. maana twajua kinachofuata ni makombora..
Hali ikiendelea hivi, Najiuliza mfano Mungu akiiacha dunia hivi hivi miaka 500 ijayo, taasisi ya ndoa itakuaje? Watu watafunga ndoa kweli??Wanaume tunaogopa wanawake, wanawake wanavizia wanaume.
Ni mwanamke huyo na ktk uzao wao hakuna wa kiume.Ukioa na ukapigwa na kitu kizito, utaongea upumbavu wako apa
Nyie ndiyo waume ambao wake zenu wanachepuka,hadi michepuko yao inawahoji kuwa 'hivi ukirudi asubuhi,mumeo hatamaindi?,nao hujibu,,'ananiamini,we kua na amani'.Mimi siwezi kupigwa na kitu kizito. Nyinyi msio jiamini au hamuwaamini wapenzi wenu ndio mtapigwa na tukio
Sent using Jamii Forums mobile app