Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

Ukisema Dunia nzima unatukosea wa nje, hizo njaa ni za nchi masikini na watu masikini
Kama unanzungumzia USA basi labda ni baadhi ya Latino au weusi na hata matapeli

Lakini kuna nchi zingine mwanamke hawezi kukuletea shida zake baada ya kumtongoza ni aibu kubwa sana bora amuulize mama au baba yake.
Huku nilipo una rafiki au mpenzi atalipa chake na wengi wao wanafanya kazi za kukidhi mahitaji yao yote
Hiyo kauli ya duniani kote sio kweli
True Mfano ,German,Uswiss,
 
Back
Top Bottom