Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
toa hela kijana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kesho? Siyo wanaomba leoleo?
cndoapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚toeniii hela izoooo
 
Hivi zingekuwepo za bure mngekuwa mnalalamika humu kila siku mnaombwa pesa?? Hata house girl ukimuomba lazima akwambie umsaidie kazi zake itakuwa mdada anayejihudumia akubariki bure bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zipo nchi wadada hawaombi pesa , akikupenda yupo tayari kukuhudumia , hasa hizi nchi zenye Sera kali za 50 kwa 50, mahusiano yamekuwa magumu sana kwa wenyeji ,wewe ukitoka tanzania unaonekana ni kuku wa kienyeji na una maadili , wadada wanakugombea hatari.
 
Sisi tunaongelea hapa uko nje achana nako bana, tuongelee hapa umatumbini
 
Option ipo ila haina viwango. Wewe umeona wapi kitu chenye viwango kinatolewa kiholela?
Watu wanaendesha gari za gharama kwa self testing mbonaπŸ˜‚ ni huku Afrika tu ambako mtu unashurutishwa ulipie hadi visivyotakiwa sababu ya njaa
 
Ukiingia kwa gia ya pesa modus operandi ya mahusiano yako itakua staili hiyo hiyo ya pesa.

BeReal.
 
Hapa hapa danta mbunye zinapanguswa kwa fereree tu af safi. Unalipiaje penzi kama sio ukichaa.[emoji23]
Ila mkuu Tz tunazitetemekea sana mbususu ,ndio maana zinapanda bei na kuuzwa , nina ushahidi kuna nchi kuna pisi za moto ila zimekosa mtu wakuzichakata unakutana nazo zinafanya shopping [emoji877] ya kununua dildo mpaka unashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…