Wanaume wengi tulioko JF hasa MMU ni reject

Wanaume wengi tulioko JF hasa MMU ni reject

Cha msingi nionacho hapa ni kwamba ume-FAKE ID na kujifanya mwanaume!! Inauma sana kuwa Ke, umri unaenda alafu unakuwa reject kila kona, sasa umekuja na ujio mpya wa jinsia!
Wewe kama ungekuwa Mwanaume unaletaje hoja ya mwanaume kuwa reject kwa wanawake????
Labda sijui maana ya reject! Ila Ngoja nikwambie kuhusu sisi wanaume, ukitongoza wanawake sita, sio wote watakubali, kwa hiyo, we were made to be rejects at some point inapokuja suala la mahusiano!! Ndo maana tukikataliwa, hatuachi mpaka kieleweke! Sasa kama wewe 'mwanaume' unatongoza mwanamke mmoja, ukikataliwa unakuja kulalamika huku, wewe ni mwanaume suruali!
Vinginevyo wewe ni SUPU YA MAWE weird tafiti zako!

Kaka Umemjuaje Kuwa Ni SUPU YA MAWE
 
Last edited by a moderator:
Kaka Umemjuaje Kuwa Ni SUPU YA MAWE

Sina jibu sahihi la kukupa! Ila tafiti na mitazamo ya supu ya mawe kwenye posts zake, uwasilishaji na hitimisho lake huwa zinafanana na ya mleta mada.
Ila sijasema kuwa ni yeye moja kwa moja, ila kuna uwezekano, maana ana Id nyingi.
 
Last edited by a moderator:
mitandaon tunaact tu humu sasa weka kene akili ukajua most of us ni rejected
 
Habari.

Wakuu sina lengo la kukashifu watu ila naomba niweke wazi mtazamo wangu kuhusu wanaume wenzangu tulioko MMU.

Kwa muda ambao nimekua mwanachama humu,nimegundua kua wanaume wengi wa humu ni reject mtaani.

Idadi kubwa ya wanaume humu huwa ni kulalamika tu hawakubaliki,wameachwa,hawapati wachumba nk japokua idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume,huwa najiuliza hao wanawake wasiopatikana ni wapi? Nimekuja kugundua kwamba vidume wenzangu humu wengi ni reject,hawana sifa wanawake wanazozitaka.

Nenda love connect,mwanamke ataandika anataka mwanaume,akaambatanisha vigezo vichache,tena vya kawaida sana lakini ataishia kukatishwa tamaa na wanaume kua vigezo hivyo ajiumbie mwanaume wake maana hawezi kumpata.

Utakuta mwanamke kaandika anataka mwanaume mrefu,mwenye elimu kuanzia diploma,miaka 30,awe na ajira au kazi binafsi,masharti ya kawaida kabisa,ataishia kuambiwa ajiumbie,najiuliza kweli watu wenye sifa hizo au zaidi hawapo MMU?

Maana yake ni kwamba wanaume wengi wa humu ni wafupi,wasio na kazi,walioishia sekondari.

Sasa nimekubali kwamba wengi wetu humu ni reject.
Mkuu kama kweli wewe ni mwanaume siku nyingine usirudie kuwatukana wanaume wenzio kama ulivyofanya leo, hawa ni tofauti na wanawake kuna siku watakula 0713 yako na watakuvunja dushelele lako ili uungane na wanawake waliokosa wanaume na kuishia kutukana wanaume kuwa hawana kitu. Usirudie mkuu sisi wanaume rijali sio watu wazuri
 
Usiseme hatuna hela sema sina hela, kama wewe hauna wenzio wanazo, kama wewe ni rejected usifikiri na wote ni kama wewe!
 
Thread za MMU kizazi kipya hizi...teh teh!!!
 
Habari.

Wakuu sina lengo la kukashifu watu ila naomba niweke wazi mtazamo wangu kuhusu wanaume wenzangu tulioko MMU.

Kwa muda ambao nimekua mwanachama humu,nimegundua kua wanaume wengi wa humu ni reject mtaani.

Idadi kubwa ya wanaume humu huwa ni kulalamika tu hawakubaliki,wameachwa,hawapati wachumba nk japokua idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume,huwa najiuliza hao wanawake wasiopatikana ni wapi? Nimekuja kugundua kwamba vidume wenzangu humu wengi ni reject,hawana sifa wanawake wanazozitaka.

Nenda love connect,mwanamke ataandika anataka mwanaume,akaambatanisha vigezo vichache,tena vya kawaida sana lakini ataishia kukatishwa tamaa na wanaume kua vigezo hivyo ajiumbie mwanaume wake maana hawezi kumpata.

Utakuta mwanamke kaandika anataka mwanaume mrefu,mwenye elimu kuanzia diploma,miaka 30,awe na ajira au kazi binafsi,masharti ya kawaida kabisa,ataishia kuambiwa ajiumbie,najiuliza kweli watu wenye sifa hizo au zaidi hawapo MMU?

Maana yake ni kwamba wanaume wengi wa humu ni wafupi,wasio na kazi,walioishia sekondari.

Sasa nimekubali kwamba wengi wetu humu ni reject.

Reject Nadhani Utakuwa Ni Ubongo Wako!
 
Muhudumu nipe Smirnoff vodka ndogo kesho siku ya kazi.
 
Common Symptoms:-

1) feelings that they are not good enough and that they are a failure, fear of confrontation (because your identity is based upon what people think of you)

2) obsessive, clingy and jealous and can also destroy relationships that have barely begun through them becoming too serious too soon which can drive others away, Envy and hate can be rooted in rejection

3) feelings of anxious and even angry as they falsely believe that they are not good enough

4) fabricated personalities (being somebody you aren't, in order to be accepted)

5) tendency to reject others, so that you aren't the first one to be rejected

6) a tendency to always wonder if a person rejects or accepts you

7) the need to fit in or be accepted by others and be a part of everything

8) inability to be corrected or receive constructive criticism

9) A tendency to blame God ("Why did He give me this big nose? Why did God make me so short?")

10) A sense of pride that says, "How dare they reject me!"

11) opinionated personality and the need to be right about things

12) feelings of worthlessness, insecurity, or hopelessness

NB: Nimetoa mtandaoni ndio maana iko kizungu samahanini sana, pili siongelei reject maana ninaamini hakuna mtu ambaye ni reject, ila kuna watu wenye kufikiria kuwa hakubaliki "rejected".

Symptoms za wale wenye kufikiri hawakubaliki, kuwa na hisia za kukataliwa au kutokubalika ndio hizo jichunguze.

Haa watu ni ngumu sana kuona mema kwa wengine maana hawaoni mema/mazuri kwao, thread ikianzishwa cha kwanza kuona ni mabaya na kuitoa kasoro. Watu hawa hata wakiwa kwa mahusiano ni shida, maana wanacontrol kila kitu, na wanahisi wanaibiwa au mwenzie anacheat, hawana imani kama wanakubalika.

jamii15.jpg
 
Watu wengine bhana! hata ulikuwa hauna mudi yakutukana inabidi tu ufanya hivyo!!!.

wewe mleta mada usijilinanishe tabia na njisi ulivyo ukadhani ya kwamba wanaume wote tuko kama wewe!

shataaaup!!
 
duuu...ukivunga utaitwa reject,ukichangia utaambiwa unampinga mtoa madam.anyway kuhusu hilo suala Dina uhakika nalo.ninachojua Mimi wengi humu ni maplayer ambao huficha maovu yao hili waonekane husband material Kwa wadada...
 
Hivyo vigezo viendane na mazingira na jamii iliyopo. Hivi ukiwa Morogoro, Tanga, Dodoma, nk unategemea kupata mapema?
 
Back
Top Bottom