Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

Zanzibar watu wanaliwa kwenye magari lodge huruhusiwi kuingia na mtu asie mke wako. Labda umpeleke kwenye hotel na ujipange maana bei zake zimechangamka.
 
Ondoa neno "Tuolewe"... Sema uolewe.
We uko na mshikaji mmoja yeye yuko na kina nyie watu wa ziada ukijumuisha na wewe mnakuwa defender wa nne na kipa mmoja.
#Haijakaa Sawa

Tofautisha kuona wanne na kuchupuka na Kijiji kizima...
Sasa SI Bora tuolewe tu ujue mpo wangapi..hicho Kijiji kizima inakua vip
 
Tatizo kubwa la watu wajinga wajinga Kama wewe huwa mnaona kila mtu asiyekuwa Muislam, basi ni Mkristo.
Yaani ninyi akili zenu ziko Islam vs Kristo.

Hamjui nchi hii Ina watu wengi tu hawana dini na wengine Wana imani zao wenyewe.

Pili, tamaa haishii kwa WAKE 4, haina kikomo.


Unaweza kuwa na wake 10 na Bado ukawa na michepuko vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…